POLISI WAMTAKA MBOWE ATHIBITISHE KUWA POLISI WALIHUSIKA VIPI KATIKA BOMU LA ARUSHA LA SIVYO...

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Polisi wamemtaka Mbowe na Bwana Lema wathibitishe mara moja jinsi polisi walivyo husika katika mauaji ya Arusha,wakishindwa basi watachukuliwa hatua kali za kisheria.

Maelezo haya yametolewa na Chagonja.

source Chanel 10
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mbowe aithibitishie polisi vipi kuhusu Nape kuthibitisha kwamba chaema ndio waliohusika au chagonja hakumsikia wakati anaropoka kama kanywa maji machafu? Enyi polic acheni double standard,hamuoni aibu? Hata lini mtaendelea kutumia mbinu zenu chafu za mwaka 47? Badilikeni jamani,maisha ya watu yanapotea bila hatia. Ingekuwa wanaokufa ni watoto wenu na wa huyo nape wenu mngeendeleza siasa? Inauma sana,msitake kutufikisha mahali uvumilivu ukawa mdogo!

    ReplyDelete

Top Post Ad