AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Jaji mstaafu wa Mahakama ya rufaa Damian Lubuva ambae ni
mwenyekiti wa tume ya Taifa ya Uchaguzi amesema “Jioni ya June 15 2013
tulipata taarifa ya tukio kule Arusha ambako uchaguzi unafanyika katika
kata nne za pale mjini, katika kata moja wapo ya kumalizia kampeni za
mwisho bomu likatupwa na watu kufariki pamoja na wengine kuumia,
kutokana na hilo tumeona sio wakati muafaka kwa uchaguzi kuendelea kwa
sababu wengine wanaendelea na shughuli za mazishi”
“Tume imeahirisha uchaguzi katika kata nne za Arusha mjini
kutokana na tukio hilo ambalo linawapa Wananchi hofu wakati wa kupiga
kura hivyo uchaguzi umeahirishwa hadi tarehe 30 June” – Lubuva
-------------------
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
INTERNSHIP VACANCIES
GOVERNMENT VACANCIES
NGO'S VACANCIES
GOODLUCK