google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html SHILOLE NA HOFU YA KUROGWA "WASANII TUNAMALIZA WENYEWE" | UDAKU SPECIAL

SHILOLE NA HOFU YA KUROGWA "WASANII TUNAMALIZA WENYEWE"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

MSANII wa filamu na muziki Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amefunguka kuwa, suala la wasanii wa muziki kurogana linamuumiza kichwa kiasi cha kufikiria kuachana na kazi hiyo.
Akichonga na paparazi wetu pasipo kuwataja ‘wabaya’ wake, Shilole alisema hivi sasa ‘kesi’ za wasanii kurogana zimeshika kasi kuliko siku za nyuma na anashindwa kuelewa ni kwa nini watu wanamuasi Mungu kwa kuendekeza ushirikina.
“Kwa staili hii wasanii tutazidi kupukutika, kuna wakati huwa nafikiria hata kuachana na muziki maana tunarogana na namuomba Mungu usiku na mchana hata kabla ya kupanda stejini kwani hali ni tete,” alisema Shilole.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. wala hamrogani ila wengiwenu mkishapata pesa mnajiingiza ktk tabia za ajabu kama kubwia unga.pombe sana.ngono zembe kwahiyo msipo jirekebisha mtapukutika kama kuku.

    ReplyDelete
  2. Na hizo ndo tabia zake huyo shilole.harogwi na mtu ila miunga anayobwia itammaliza.

    ReplyDelete

Top Post Ad