Single mpya ya Stara Thomas na Linex Isikilize Hapa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Tunafahamu Stara Thomas staa wa longtime kwenye bongofleva amerudi kuendelea kufanya muziki wa bongofleva baada ya kutangaza kuuacha wakati alipoamua kuokoka na kumpokea Yesu lakini imebidi arudi na kutangaza msimamo wake wa sasa kwamba ili aweze kuendesha maisha yake kiuchumi ni lazima afanye bongofleva. Hii haimaanishi kwamba anaachana na Gospel bali atakua anafanya gospel na bongofleva kwa wakati mmoja huku akiwa bado kaokoka akiamini bongofleva sio uhuni…….. ni kazi kama kazi nyingine. Baada ya hizo sentensi hapo juu naomba upokee mwaliko wa kuisikiliza single yake mpya hapa chini….
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ndo mana YESU alisema anayetaka kunifuata ajikane mwenyewe, wengi wanadhani tu gospel inalipa wakimwona Rose Muhando na Shusho, wanaingia wakitegemea kutoka!!!!!!Haya sasa, kuokoka kazi jamani, haina kuremba wala kutiana moyo wala kusema unahukumu wewe nani. MUNGU achanganywi.

    ReplyDelete
  2. Du!!siamini kama nivitu vinavyoweza kuchanganywa-UOKOVU NA BONGO FLEVA.Tuache kumfanya Mungu nikitu chakuchezea.

    ReplyDelete

Top Post Ad