SINTAH AMTOLEA UVIVU OMMY DIMPOZ NA KUMPA LAKE LA ROHONI

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 
Sinta ameandika haya yafuatayo katika website yake:

MDOMO UMEMPONZA HUYU KIJANA

"Daaah masikini akipata matako hulia mbwata, yaani nimesikitishwa na habari ya Ommy Dimpoz na kauli yake aliyotoa kwenye umma, hivi wewe Dimpozi unajua nini cha kuongea ktk public?? SMH usipende kuropoka ropoka tu hata kama wewe ukifa tutajuaje kwenye bank yako kuna kiasi gani acha kuongea kwasababu ya nyimbo tatu ,, Nainai, Badaye na Me n U, Angalia kijana na usiache mbachao kwa msala upitao sasa unajiliza nini katika radio na umeongea mwenyewe hivi hujui mdomo huumba na pia huponza kichwa??

sasa wewe unataka kuniambia u have invested na hutegemei show?? kumbuka sisi mashabiki wako ndio tumekuweka hapo juu na ku support music wako haya tukiacha kupenda nyimbo zako na ukakosa show itakuwaje??? umenizije sasa kumkejeli mwenzio tena kwenye kipaza sauti next time uliza nini cha kuongea ndio maana wenzenu wanakuwa na managers wa kuwa guide sio unaongea tu coz usikike. wenzio walionyamaza uliwaona mafala sio?? au ulitaka utoke kama hivi tukuongeleee cheap cheap fame.

kauli yako uko sahihi ila kwanini usingeiongelea ktk interviews zako kama ushauri kwa wasanii wenzio na ukaifanya ni big issue ktk msiba wa mwenzio??

nimekupa langu la roho kazi kwako sasa ukinichukia sijali, ukinipenda sawa coz naongea ukweli na wananchi waliokerwa wamenituma na sikuwepo ila wamerekodi wakaniambia CEO ifanyie kazi Ommy D katukwaza" says Sintah
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Yaani TID ata akukosea huyu mtoto amewatukana nyie wote sio wa kumuachia..yaani mi mwenyewe namtafuta najua ataingia ktk kumi na nane zangu tuu..Namvunja miguu..Stupid boy mziki wenyewe kuimba kupitia migongo ya wasanii wenzake alafu analeta kashfa watu wametoka mbali na huu mziki wa kibongo wameangaika mpaka kufikisha hapa ulipo na awakufaidika lolote ila wamewafanyia wao kazi ambao watoboa kiulaini bila wasanii walioanza nyuma huyu mtoto nani angemjua...Alafu jamani labda mi sijui nice muziki lakini nyie kwa mnavyoujua muziki wa bongo fleva huyu ommy kweli mnamuona msanii mzuri kweli..HELL NO..Huyu mtoto anaweza kuimba nyimbo kama ZEZE,ATA SIKU MOJA mpaka anamiliza kuimba atoweza..na muda sio mrefu amtamsikia tena koz this boy is not a real artist...So atleast Respect for those who fought for u now..

    ReplyDelete
  2. Yaani angekuwa karibu yangu nishapew kesi tayari.

    ReplyDelete
  3. Alafu nyie wasenge mnaemtetea ngojeni niwaambieni Fact...Si kwamba watu awakumelewa ila Watu AWAMPENDI..So simple hope u all understand now..soo shut fuck up.

    ReplyDelete
  4. huyu pimbi ni aina ya viongozi ambao tunawachagua laikini wakishingia madarakani wanasahau wapiga kura wao, sioni ajabu kwa dimpoz kuwa na maneno ya kashfa kama mnyama alimlea lakini hamthamini iitakuwa cowboy ngwair? ajue anaringa si kwa nyimbo nzuri ila ni kwa support ya wadau na washabiki kama yeye anajua na tajiri aimbe nyimbo asipeleke redioni wala zisipigwe club tuone atakula nini na atamtambia nani?????????? pumbafu kabisa huna haya wala hujui vibaya shenzi ati!!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad