SOMA ALICHOKIANDIKA ZITTO KABWE KUHUSU KAULI YA PINDA KURUHUSU POLISI KUPIGA WANANCHI

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Baada ya mh.waziri mkuu mizengo pinda kutoa ruhurusa kwa polisi kupiga wananchi..Mh mbunge zitto kabwe nae atoa lake juu ya mh.waziri mkuu...Kupiitia tweet yake Zitto alisema "Viongozi wa kisiasa lazima wajue kuwka akiba ya maneno yao .kuropoka hovyo hovyo wakati kama huu wenye taharuki ni hatarii sana"..Aliongezea "Ni lazima viongozi wawajibishwe kwa maneno wanayotamka.Mh. Pinda anahamasisha ukiukwaji wa katiba na sheria Asipowajibishwa.!"

HIZI NDIZO TWEET ZA MH.ZITTO KABWE


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Sasa anaongea twitter wakati bunge analiona

    ReplyDelete
  2. kuongea ni popote we vipi?

    ReplyDelete
  3. poa mh. lakini watu wanao tumia mitandao ni wachache ukilinganisha na idadi kubwa ya watanzania cha msingi ungenena hayo kwa bunge au kupitia redio ili kila mtanzania asikie usemi wako

    ReplyDelete

Top Post Ad