Tetesi:Startv na itv kujitoa rasmi startimes mda simrefu kuanzia sasa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Habari nilizozipata, mda mfupi ulio pita ni kuwa mwanasheria wa continental ametuma barua ya kuitaarifu startimes kujitoa kwa startv rasmi startimes, na mda simrefu Itv nao wanatuma rasmi barua kama hiyohiyo, huk startimes mashop yote ya dar ya startimes yameambiwa yawataarifu wateja kuhusu kutoka kwa hizo channel mbili.

NTAENDELEA KUWA UPDATE.....

Source mimi mwenyewe toka maeneo ya hapa bamaga startimes, nimepata habari hizi nikiwa ndani ya duka lao mda huu..wakijadiliana watafanyaje???
By bampami

Source:Jamii Forums
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. watatuvuruga sasa kwahiyo vingamuzi 3 tv 1 du!kweli dijital noma haya tuteseni tu

    ReplyDelete
  2. star tv washajitoa sanyingi kichiz

    ReplyDelete
  3. Kwani TCRA inafanya kazi gani? Kwa nini isicontrol hii ishu maana tuendako kila TV station itakuwa na king'amuzi chake!

    ReplyDelete
  4. Matatizo ya viongozi wetu ndiyo kutuletea majanga kila kukicha hata waliofunga ZUKU hawapati ITV, Mi nilikuwa nikiona nyumba ina MADISH matatu nilidhani ni kuonesha jeuri ya fedha kumbe nao wanateseka mauzauza haya.

    ReplyDelete
  5. Hawa TCRA walikuwa wanatuambia wao pia wanafuatilia kwa umakini mkubwa, sasa yako yapi? acheni siasa jamani mnatuumiza. Na vp kuhusu TVZ inapatikana kwenye kisimbuzi kipi? michelin DAR.

    ReplyDelete

Top Post Ad