Ujumbe mtamu wa K’Lyn kwa mpenzi wake ‘Reginald Mengi’ ni moja kati ya the sweetest messages in May

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kumekuwa maswali mengi kuhusu wapi alipo na anafanya nini mrembo aliyewahi kukimbiza katika medani ya muziki Tanzania na ngoma kali kama ‘Nishike Mkono’, namzungumzia Jackline Ntuyabaliwe a.k.a K’Lyn.

 Lakini majibu yanaweza kujieleza kuwa.. She is taking care of big things, watoto wawili mapacha aliozaa na moja kati ya wajasiliamali waliofanikiwa zaidi na wenye heshima kubwa Afrika ambae ni mmiliki wa makampuni ya IPP Media, Regnald Mengi ni moja kati ya vinavyomkeep busy.

May 28 ilikuwa ni siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa Regnald Mengi (Birthday) na watu wengi walimtakia heri ya siku ya kuzaliwa a.k.a happy birthday kwa lugha ya kigeni. Lakini ujumbe laini wa mrembo K’Lyn ulikuwa tofauti kabisa na ujumbe wa watu wengine, na hii ni kutokana na ile intimate relationship kati yao.

Mrembo huyo alitumia akaunti yake ya Twittter kuuwambia ulimwengu jinsi anavyomthamini, kumpenda na kumjali baba wa watoto wake mapacha, na kumtakia heri ya siku ya kuzaliwa.

“Today is very special!Its the birthday of the love of my life,my best friend and the father of my twins.Happy birthday my love @regmengi.”

Utakubaliana na mimi kuwa huu unaweza kuwa kati jumbe laini na tamu kwa mwezi huu May hasa zile zilizowekwa hadharani.

Kwa jina kubwa alilonalo na heshima kubwa aliyonayo bwana Mengi alipata jumbe za kumtakia heri ya siku ya kuzaliwa toka kwa watu wengi duniani, na yeye aliwajibu baada ya kuipitisha siku yake ya kuzaliwa na kuwashukuru kwa lugha mbili, kikwetu (Kiswahili) na kiingereza.

“Nawashukuru sana wote mlionitakia Happy Birthday. Asanteni sana. Nawatakia afya njema, furaha na mafanikio katika yote mnayofanya.”

“My most sincere thanks to all who wished me a happy birthday. I wish u good health, happiness and great success in all that u do.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

13 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kwako ndo umeufanya ujumbe wako wa mwezi..

    ReplyDelete
  2. he jaman.kumbe kylin ni mpenzi wa mengi?such a difference???.kwan mengi hana mke jaman.lols.....hata ckuwai kuwaza

    ReplyDelete
    Replies
    1. ushawahi kuiona tamthilia ya teresa? kama umeiona basi jibu unalo kama haujaiona ndo ujue kuwa penz c ki2 kwenye pesa

      Delete
  3. ingependeza zaidi km Mengi nae angejibu jumbe laini ya mapenzi kwa mama watoto wake..... Okh! Naomba kofta..

    ReplyDelete
  4. ingepeneza kama mengi angekuwa na mtu wanaelingana umri au kukalibiana kidogo.

    ReplyDelete
  5. kamwacha madam rita....du

    ReplyDelete
  6. i hope ameshaandikiwa mirith yake tayar! hata akipata capital tv tu inamtosha!

    ReplyDelete
  7. i hope ameshaandikiwa mirith yake tayar! hata akipata capital tv tu inamtosha!

    ReplyDelete
  8. duh.... hilo zali kwa kweli yeuwiiiiiii......... apa mfooo

    ReplyDelete
  9. hivi n dede roooo....... inabdi nionge kichaga kwa kweli, coz si unajua si wanawake wa kimachame hatuchelewi kuua mtu km mambo ni saf lyk meng? hakika ningepata hlo zali asingemaliza wiki ningempuputisha faster nibaki napata moja moto moja barid na mbege

    ReplyDelete
  10. munamuonea wivu tu.....!

    ReplyDelete

Top Post Ad