Updates za Msichana wa Tanzania Anayesemekana Atanyongwa Ijumaa huko Misri

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Tumefanikiwa  kuinasa  video  wakati  akikamatwa  na  madawa  ya  kulevya...

Hizi ndo picha  za huyo msichana anayetajwa kuwa ni Fatma aka Brown Berry wa Ilala Dar es Salaam ambae amekamatwa akisafirisha madawa ya kulevya au nchini Misri.

Pia chini kuna video inayoonyesha maafisa wa Egypt wakionyesha jinsi unga huo ulivyofichwa ndani ya begi kabla ya kubambwa
Akiwa na Mtoto wake
Akiwa na Boyfriend wake

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

18 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. tamaa ishamponza.. Binti mzuri kwa kweli inasikitisha

    ReplyDelete
  2. Hao ni Ruge na Kusaga ndo wamemtuma dada wa Watu,tumeweza kuona ss upande wa pili wa hawa jamaa ni hatari sn,watanzania waogopeni

    ReplyDelete
  3. Ubalozi wa Tanzania huko Misri wao wanasemaje kuhusu hili au nao wanafki anyongwe tu sio, lakini hapa Tanzania kwetu sijawahi kuskia Raiya wa nchi yeyote kanyongwa hata kama kavunja sheria za nchi badala yake hufukuzwa haraka sana kushtakiwa kwenye nchi yao

    ReplyDelete
  4. nchi zngne sheria yake ndo hyo unakamatwa na mzigo unanyongwa no mjadala

    ReplyDelete
  5. Huyu si Mtanzania, ni Mu Oman.... ukiangalia uzuri hiyo video clip utaona anatumia passport ya Oman.

    ReplyDelete
  6. Anyongwe tu hana akili hata kidogo, umeona wapi ngada ikabebwa kwenye begi km unabeba karanga? Pumbavu sana R.I.Hell

    ReplyDelete
  7. Hiii ishuu inawezekana sioo kweli

    ReplyDelete
  8. huyo ni mtanzania jamani mi napafahamu hadi kwao ... na nimesoma nae madrasa moja, dada yake anaitwa mariam

    ReplyDelete
  9. Roho inaniuma binti mdogo, mrembo anadanganyika kusafirisha unga. si kosa lako ni tamaa ya pesa. Allah akutangulie usinyongwe

    ReplyDelete
  10. jaman jamani selikali yetu iinglie kati mbona wao hatuwanyongi?? tunawafukuza wanaenda kwao kushitakiwa

    ReplyDelete
  11. Ongeeni mtakacho ongea lakini bora ya yeye ana kaza kuliko kufa masikini duniani hakuna haki, nn serikali yenu inafanya si inawaacha mfe taratibu oho tamaa tamaa my ass

    ReplyDelete
  12. Why Tanzania tuna Ubalozi?
    Ubalozi ambao huu msaidii mtanzania yeyote hakipata matatizo hasa ya kupoteza maisha[kunyongwa].
    Nchi nyingine watafanya juu chini kuokoa maisha hatakama hanamokosa.
    Lakini hii ni fundisho kwa kinadada kwa kudanganywa kufanya hiyo biashara haramu.Ninahamini hakufanya mwenyewe bila .Hila katumiwa kubeba au kusafirisha mzigo wakati hajui madhara yake hasa nchi za Kiarabu.
    Hii ni nafasi ya serikali kutoa matangazo na kuelimisha wananchi kuhusu madhara ya kubeba au kusafirisha madawa ya kulevya na hatari zake.

    ReplyDelete
  13. Dah inauma xn bn, cdhan kma raia wa marekani anaweza fanywa hvyo tena ugenn lbda ingekuwa kwao

    ReplyDelete
  14. namuhurumia mtoto wake

    ReplyDelete
  15. jamani kwani walikua wangapi mbona 2nasikia wapo 3

    ReplyDelete
  16. Very sad, Get rich or die trying...

    ReplyDelete

Top Post Ad