ZITTO KABWE ASHINDWA KUVUMILIA NA KUANDIKA HAYA KUHUSU MAUJI YA ARUSHA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


"Inaumiza sana. Ukisikia watu walioumia tukio la kinyama Arusha inaumiza. Mtoto anaona Mtu aliyevaa nguo za polisi anampiga Risasi, mtoto huyu daima atawaonaje polisi. Mpaka lini unyama huu utaendelea? Halafu watu wanafanya siasa. Raia wamekufa. Tuvumilie kweli?"

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Inasikitisha sana kuleta propaganda kwenye maisha ya watu,Mungu atupe uvumilivu

    ReplyDelete
  2. Inasikitisha sana watu kuleta propaganda kwenye maisha ya watu,Mungu atupe roho za uvumilivu

    ReplyDelete
  3. kiukeli inatia uchungu sana tena sana! Watukufa mikononi mwa police? Tenakwa kuwapiga risasi inaumaaaa jamani ! Uwiiii, kwanini nchi inakuwahivi? Kwanini tufesi maskini na sio wao? Kwanini wafe watoto wetu na watoto wao??

    ReplyDelete
  4. Raisi anapaswa aseme kitu,inaonyesha askari wetu wanapenda vita cz wanaona hawa2mii mafunzo yao ipasavyo toka wametoka makambini so wakipata chance km hz wanafanya kweli?bt trully speaking mkono wa CCM ni mkubwa ktk ili bt wananchi nao washazinduka hawarudi nyuma kamwe..UK uki2mia 1bullet jioni wakati wa hesabu lazima uandike maelezo iyo risasi moja ime2mikaje+madhara yake bt huku mmmh no one 2ask,MATUMIZI YA SILAHA HAYARUHUSIWI NA NI ILLEGAL JAMANI,Arusha ndo ngome Mama ya Chadema so CCM watahakikisha wanaivuruga isambaratike kwa mbinu zote!MAPAMBANO YANAENDELEA,MBELE DAIMA NYUMA MWIKO(CHADEMA=TANZANIA=ARUSHA 4LYF)

    ReplyDelete
  5. hii yote ni udiwani sasa kama uchanguzi wa madiwani tuu imekuwa hivi ..... jeee hiyo ya urais mwaka wa 2015 itakuwaje??? yetu macho

    ReplyDelete
  6. KUMPA MTU MILIONI MIA HAISAIDII CHOCHOTE COZ HATA AKIKAMATWA ATAWEKWA KIFONGONI AU HATA AACHILIWE,, WAKATI TAYARI KASABABISHA VIFO!! CHA MSINGI NI KUANGALIA CHANZO NA NAN ALIYE MTUMA KUFANYA UNYAMA HUO!!

    ReplyDelete

Top Post Ad