AIBU:MAJAMBAZI WATEKA KITUO CHA POLISI

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Hii imetokea huko Gongolamboto jana ,majambazi waliokuwa wamejihami kwa silaha za kisasa walivamia kituo Kidogo cha polisi kilichoko Gongolamboto na kuwateka polisi waliokuwemo kituoni humo na kuwafungia mahabusu ya kituo hicho, majambazi hao pia waliwajeruhi na walitaka silaha zaidi na radio call, hata hivyo walishindwa kwakuwa radiocall haikuwa na chaji(aibu nyingine ya jeshi la polisi) waliondoka wakiwaacha polisi ndani ya lockup yao mpaka walipokuja kuokolewa na wananchi
Source; Radio Wapo, Radio Tumaini
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hahahahaaaaa.....!! Tz wabaya? Tulimpiga Idi Amin?!?

    ReplyDelete
  2. Hahahaaa waambie kumkamata mbowe watakuja force kweli na siraha nzito ,,,lkn kwa majambazi wanafungiwa ndani kama kuku bandani,,uwiiiii sina mbavu nacheka sana leo

    ReplyDelete
  3. Don kicullumant19 July 2013 at 11:36

    Naisi bongo,bado hatujielewi kusema kweli mpaka inafiki hatua ya majambazi kuvamia kituo cha polisi na kuwafungia selo...kweli soooh!!

    ReplyDelete
  4. Ukiona hivyo siasa na haki za binadamu imetawala zaidi ya nguvu ya jeshi

    ReplyDelete
  5. Safiiiiiiiii wangewavua na nguo

    ReplyDelete

Top Post Ad