ANGALIA VIDEO YA HARUSI YA SHAMIMU MWASHA NA ABDUL-VERY CLASSY

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Video hii hapa chini ...kazi kwako
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

30 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mwanaume sio wako Mpaka akuoe .Mliobakia mtajibeba mmeshaachwa mnatapatapa Kwenye mitandao .kibuti mmepigwa.Shamim Hongera mwanaume amekupenda amekuoa.Hongera saaaaana Mliobakia mruke kichurachura .MDAU west Hollywood

    ReplyDelete
  2. Wivu unewajaaaje.ninauza handkerchief za kuwafuta machozi Woote mlionuna.cheki mtoto shamim mtoto ameumbika .Hata Mie ningeoa hapo mtoto mzuriiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.Jamani ndio maana Watu wanalia week nzima wivuuuuuuuu.Machozi yanadonfoka kutoka USA Mpaka DAr .

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mdau umeua alidhani wazungu tu ndo wenye hela za kula maisha mazuri eti muuza sembe angemtaka yeye unadhani angemkataa anavyopenda kuchop money za wanaume mfyuuuuu

      Delete
    2. Wadau hapa mmenipaje raha,kuolewa na wazungu ndo wanaona big deal!fuck them.shamim kula maisha dada yangu,achana na wale wakola.kama anaona sembe inalipa na yy akauze.mzungu mwenyewe kampata kwa uchawi

      Delete
    3. Ndio maana mange kimambi anaishia kufuata upepo wa mwanaume.Ambae Alisha admit Mume wake hamridhishi na hampendi mzungu Huyo hata kidogo .sasa naona stress zimemzidi na yupo so depressed .Nyumba za Watu ,maendeleo ya Watu ,watoto wao inamuhusu nini?.Mume wa mange tumuite HUMA WEINER .

      Delete
    4. Wauze sembe Wauze nguo za china wewe mange inakuhusu nini ??????????

      Delete
  3. Sasa mange kimambi kinamuuma nini .kwani Huyu bwana harusi anamapenzi nae ?

    ReplyDelete
  4. Ni wauzA sembee

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mange acha kumpigia simu Albert Rwehumbiza

      Delete
  5. Mungu atusaidie wanawake. Tunamaneno sana hekima inaitajika.

    ReplyDelete
  6. Aibu mange una wivu mbaya sana ndo maana hunenepi umemchafua dada wa2 kisa kampa duka cntah looo mwsnamke mbaya wee

    ReplyDelete
    Replies
    1. Yaani Mie nakaa LA hapa sitaki kumuona wala Kukutana nae .Inaelekea ata uchawi anao maana Jamani mdada anamaisha ya ajabu Jamani na hata shetani analala usingizi.huyu mange mungu wangu ni binadamu kweli .Hivi kuna Mtu anaetaka Kuwa na rafiki wa namna hii Jamani .My heart goes out kwa mume wake maana ata sijui wazazi wake wanamuonaje Kwenye hayo Mablog ..Mange duh wewe kweli ni mtumwa wa shetani

      Delete
  7. Au mashoga zako wa mtsndao wanakupotosha c ajabu humjui koku cmam wala marivhui mfyuu .

    ReplyDelete
    Replies
    1. Anonymous ndio anawafurahisha.Yupo so desperate for attention and love Mpaka yupo obsessed na blog .Blog Ina m control mange .Shamim kakukosea nini wewe mange

      Delete
  8. Yaan ananiuz huyu mwanamke anavyowachafua wenzake kama ansvyomzslilisha yule linda wala aibu hana. Ana uhakika gani kama ndo yy anayemtukanaga babake

    ReplyDelete
    Replies
    1. Baba ake mange anatukanwa longtime before hajamjua Linda .Nakumbika jamii forum walimtukana kimambi Mpaka Basi tena .Anatapatapa tu mange kafulia huko USA

      Delete
  9. Wadada wa mujin wote wamemzarau mange jaman yule ni nyoka anaweza akakugonga na gari ana rohombaya sana looooh anamwandama sintah wa wa2 kama kamzaa yy .ushasema sintah maskin mlalahoi cio type yako sasa mbona unamssakama? Fuata tupe zako akina mwamy.kiki.devota

    ReplyDelete
  10. COMENT ZOTE ZA JUU KACOMENT SINTA...u'll still be FAKE till u DIE..

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mange is obsessed with sinta

      Delete
    2. Mimi nakaa LA Mbona na jina langu RAY na anitafute aone Huyu mkundu mange nitakavyomchapa viboko pumbavu

      Delete
  11. Wote mna wivu na huyo mange hamna lolote ushabiki maandazi tu unawasumbua na kujipemdekeza.com na Kama hamumpendi mnashinda mnatafuta nini kwenye blog yake Kama mtu anawaudhi kiasi hicho si hutataka hata kusikia chochote kumhusu??? Maana utachefuka wote wanafiki wakubwa na mnapenda umbra ndo maana mko all over the place kwani ukiingia huko ukasoma ukakaa kimya bila kukoment utakufa?? hebu kwendeni huko uzushi tu hapo umepostiwa video uone uburudike na comment zihusu video sasa huyo mange anaingiaje mnazidi tu kumpa air time na kumuongezea traffic kwenye blog yake maana hata wasiomjua wataanza kutaka kumjua hamuoni mnampromote na kuna watu wanaishia kumpenda na kuona anazushiwa tu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wewe uliyecoment hapo juu ni mange nyooooo azushiwe kwa lipi jini huyo

      Delete
    2. Mange ningekuonea wivu Kama ungekuwa na vifuatavyo.Ungekuwa na nyumba bingo na USA Pia na hilo Jumba la USA uwe umelilipia cash one million dollars ,ungekuwa unamiliki gari cash sio payment kila Mwezi ,Unasomesha watoto wako private school 100,000 dollars a year ,Ungekuwa Mzuri kama Linda au Stella TILLYA (weupeee Wana shape watapata wanaume wowote dunia ,Ungekuwa Una mall maana duka tuachie siye walala hoi ,Una Kwenda vacation na family Switzerland,Italy .VYOTE HIVYO HUNA so I can conclude UMEFULIA

      Delete
  12. Huyu nae punguani wa wapi eti weupe wazuri wataolewa hahahaaaaaaaaaaaaa kweli wewe you need to emancipate yourself from mental slavery kwa hiyo weusi sio wazuri na hawaolewi ati nyie ndo mnaishia kuwa watumwa wa mikorogo kwa kuendekeza upumbavu wa Hali ya juu by the time the cancer is chewing u up that's when u get the reality check in ur tiny little pathetic mind of yours

    ReplyDelete
  13. Sioni cha kutisha kwenye hiyo harusi iko kawaida Ila wamejitahidi I have been to waaaaaaay more classy lavish weddings ambazo hakukuwana muchacho vile vile and this one don't even come close to so in a scale of 1 -10 I give it 4 thats my opinion. The bride dress was ok except for that thing tha goes around her neck It look wierd and ruin the whole dress utadhani mbelekko the designer should have been more creative and come up with something more elegant classy sexy and more over stylish the dress was ok I love the colors but that mbeleko ruined the dress .

    ReplyDelete
  14. hata mie kaniuzi huyu anayeona sie weusi wabaya.....puuuuu shika adabu yako ndugu.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Tanzania Hamna Mtu mweusi wengi light skin .watu weusi wachache Kama mtoto wa MANGE bhoke mweusi mnooo

      Delete
  15. duuu huyu mange anawanyima usingizi. maana mange mange basi tabu tupu

    ReplyDelete
  16. eeeh mange kawazidi sn samwe hamtamfikia! Shamimu arusi yako ilipendeza sn matukio kama ya kudhungu vile! ila hukupendeza hata hubby wako hakupenza hata kidogo utafikili mlinda mlango. ila shamimu huwa nakupenda sn.

    ReplyDelete

Top Post Ad