AUNT EZEKIEL AMTOSA MUMEWE DUBAI MWEZI MTUKUFU

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Wengi  walitegemea  kuwa  Aunt  Ezekiel ataungana  na  mumewe Sunday  katika  kipindi  hiki  cha  mwezi  mtukufu wa Ramadhani  lakini  hali  imekuwa  ni  tofauti....

Aunt  anayetumia  jina  la  Rahma  baada  ya  kubadili  dini  ili  aolewe  na  mwanaume  huyo,   amemtosa  mkaka  huyo  na  kuendelea  kula  bata  nchini  huku  akidai  kuwa  mumewe  hana  mengi.

"Sina  mpango  wowote  wa  kuondoka  nchini  kumfuata  mwanaume.Yeye  ni  mume  wangu, ntamkuta  tu  hata  nikienda  mwakani.

"Kwanza  mume  wangu  hana  mengi  na  si  mkorofi  na  anajua  wazi  kwamba  sipendi  kubanwa.Kwa  sasa  nina  mambo  mengi  likiwemo  hili  la  kuisambaza  filamu  yangu  mpya  ya  Scola  mwezi  ujao"...Alisema  aunt  Ezekiel
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mmmmh huyo mwanaume mtoto? Au.....!!!! Duh km nimtu mzima bac mbegu mbaya sn!

    ReplyDelete
  2. huyo mme bwege,hajui mambo huyo,si ant ezekiel si mmeo wote wapuuzi.

    ReplyDelete

Top Post Ad