BABU ANAYETAKA KUMFUFUA MWALIMU NYERERE AGEUKA GUMZO

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mzee (pichani) aliyeibuka hivi karibuni akidai kuwa ana uwezo wa kumfufua Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere amezua gumzo.

 Babu huyo aliibuka katika studio za Kyera FM huko mkoani Mbeya akihitaji msaada wa kumfikisha Butihama alipozikwa Mwalimu Nyerere mwaka 1999 ili amfufue. 


Mzee huyo alikuwa na ufunguo mkononi ambao anadai ndiyo utakaotumika kumfufua Nyerere. Anaeleza kuwa akishamfufua Mwalimu Nyerere ndiye atakayesimamia Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

15 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. mzee hela hazitafutwi hivyo!!!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. unashindana na babu wa loliondo

      Delete
  2. Samson ndaro.hukishindwa upigwe risasi.

    ReplyDelete
  3. tafuta hela kwa mtindo mwingine.

    ReplyDelete
  4. daah!hii kal mbona

    ReplyDelete
  5. Jamani njaaa iyo inamsumbua na yeye anataka kuwa star

    ReplyDelete
  6. Ni mtu wa kupelekwa hospitali ya mirembe akatibiwe ugonjwa wa akili huyo!

    ReplyDelete
  7. banka dE booster fellaini13 July 2013 at 22:27

    Historia ya babu inaonyesha ni mwalimu mstaaf wa milembe

    ReplyDelete
  8. ameshafanyiwa vipimo vya akili lkn?

    ReplyDelete
  9. huyo ni mbwa wa kike kbxa kam ye nouma amwahi mandela tujue moja

    ReplyDelete
  10. hii kali babu nyerere alipokufa ulikuwa wap?acha wiz mzee wangu siyo hivo mbona mbeya kilimo kinatoa watu

    ReplyDelete
  11. Mh hata wazee nao ni wahuni tu cku izi atafute mchongo mwigine tu.

    ReplyDelete
  12. Mh hata wazee nao ni wahuni tu cku izi atafute mchongo mwigine tu.

    ReplyDelete
  13. aaaa babuuuuu na ndevu zako ahahaaa mwongo hivo'fanya yako

    ReplyDelete

Top Post Ad