AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
STAA wa muziki na filamu Bongo, Baby Joseph ‘Baby Madaha’ ameomba pambano la ndondi dhidi ya Jacqueline Wolper ili waweze kumaliza ubishi wa bifu lao.
Akipiga stori na paparazi wetu mapema wiki hii, Baby alisema amechoshwa kusikia tambo za mpinzani wake huyo hivyo kama kweli ni mwanamke, wakutane ulingoni ili amuoneshe cha mtema kuni.
“Asiniambie mimi natafuta kiki, mimi ni msomi kuliko yeye, arudi shule au akauze vipodozi. Najua kuimba, kuigiza na ni msomi yeye anaweza hayo? Kimsingi naomba pambano nimtandike ulingoni,” alisema Baby Madaha.
Source:Global Publisher
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
i wish yu culd act like a lady.
ReplyDeleteYani she is so cheap. Hamfikii wolper hata kama hali yake mbaya saizi
ReplyDeleteMbona mnakosewa kiswahili namna hii? Hakuna neno kanikasi ni kanisani, hatusemi ameaidiwa tunasema ameahidiwa.
ReplyDelete