BARABARA ZAPIGWA DEKI KISA UJIO WA OBAMA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mbuta Nangaaaaa Sijawahi Onaaaaaaaaaaaa.......Any Comment??
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kumbe Tanzania tunaweza.....mamlaka husika mmelala usingizi wa kufa,...... shame on you......

    ReplyDelete
  2. Acheni ushamba nchi za kiarabu kia siku kunapigwa deki barabarani cha ajabu nini sasa ukifika 3.30 midnight. Oman deki kama kazi

    ReplyDelete
  3. kabla ya kuandika commnet yako, bora uangalie kwa makini nini kimeandikwa na ufanye ka research kadogo.nchi zilizoendelea , kusafisha barabara ni jambo la kawaida.embu jaribuni kutoa credits kwa viongozi wakati mwingine.wengine hamjui hata sababu ambazo zimevutia viongozi wakubwa kuja Tanzania,wote mnawaza ni kuja kuibiwa tu...jamani kuiba au mikataba sio lazima viongozi wakubwa wafike nchini..

    mohsein,sweden

    ReplyDelete
    Replies
    1. Look mohsein tatizo lililopo kwanini tusideki barabara siku zote mpaka tungoje Obama aje tz,kama inawezekana basi tungefanya hata mara moja kwa mwaka

      Delete
  4. Ni bora serikali ya ccm ingesafisha mikono yao iliyotapakaa damu za watu iliyowaua kuliko kufanya unafiki wa kusafisha barabara.

    ReplyDelete
  5. Comment ya kwanza na ya nne ziko poa kabisa kuhusu hii picha huyo anaesifia Oman na huyo wa Sweden ni sawa sawa na kusifia nyumba ya jirani kwa unadhifu wake wakati nyumbani kwako kuna jalala la takataka..... Kama tumeweza kudeki barabara ujio wa Obama kwanini tusijijengee ka utamaduni ka kudeki hizo barabara atleast once or twice a month........ Mstahiki Meya wa jiji la Dar take this as a challenge

    ReplyDelete
  6. Issue sio kudeki barabara, inashangaza kuwa siku zote tunaishi na uchafu na majalala maaeneo ya barabarani, serikali ina uwezi kabisa wa kutuondolea kero hizo, ;lakini haijafanya leo anakuja rais wa nchi nyingine usafi hadi wa kudeki barabaara unafanyika... sie tunaloomba basi kma nyuma tulikosea, akiondoka mgeni hii hali (sio ya kudeki) bali ya kusafisha angalau kutuondolea madampo serikali iiendeleze ili akija Malkia basi tusishangae tena tuone ni usafi wa kawaida wa kumkaribisha mgeni.....Natamani mawazo yangu yangemfikia mstahiki

    ReplyDelete

Top Post Ad