DIAMOND AFICHUA KISA CHA KULALA NA UWOYA!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

SIRI nje! Lile skendo la Rais wa Wasafi Bongo, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, kudaiwa kulala na mwigizaji Irene Uwoya ambaye ni mke wa ndoa wa mwanasoka wa Rwanda, Hamad Ndikumana ‘Kataut’ limevuja.
KISA KAMILI
Huku akijua kabisa kuwa ataibua zogo kwa kuwa Uwoya ni mke wa ndoa wa mtu, kwa mara ya kwanza, Diamond ameamua kuanika kisa kilichomfanya kujiweka kwa muda kwa Uwoya.
Kwa mujibu wa chanzo cha kuaminika cha gazeti hili, kilichomfanya Diamond kufikia hatua ya kumtongoza na kutoka naye kimapenzi, ni kitendo cha Uwoya kutoa  maneno ya kumponda huku akionesha waziwazi hali ya kumchukia kila walipokutana.
UWOYA ALIKUWA HAMPENDI DIAMOND
“Unajua Irene (Uwoya) alikuwa hampendi Diamond hata siku moja na mara nyingi alikuwa kila akimuona lazima amponde. Habari hizo zilikuwa zikimfikia mwanamuziki huyo kupitia mashoga wa mwigizaji huyo ambazo ndiyo zilichochea.
“Kufuatia hali hiyo, Diamond naye kila alipofikishiwa taarifa na mashosti wa Uwoya, alikuwa akijisikia vibaya mno ndiyo maana ‘Sukari ya Warembo’ alilazimika kumvizia Uwoya kwa hali na mali ili kumfanya ampende.
CHIKOKA ATAJWA
“Nakumbuka kwa mara ya kwanza Diamond alimtuma (Juma) Chikoka ‘Chopa’ kwa Uwoya ili amfikishie ujumbe wa yeye kumtaka.
“Chikoka hakufikisha taarifa hizo, kitendo ambacho kilimuuma sana lakini siku moja Diamond alikutana na Uwoya akiwa na Chikoka, maeneo ya Sinza-Mori (Dar), akamuomba tena Chikoka namba, akampa, hapo ndipo uhusiano ulipoanzia.
 “Siku mbili baadaye Diamond alizungumza vizuri na Uwoya.

GLOBAL NOMA
“Diamond aliomba ahadi ya kukutana na mwigizaji huyo, bila kuchelewa, Uwoya aliiva na kukubali ambapo walikutana kwenye ile hoteli mliyoandika (Global) kule Mbezi Beach (Dar) wakamalizana.
“Unajua Diamond alifanya hivyo kwa sababu ya kupondwa na washikaji zake kuwa anatamba kutembea na mastaa lakini hamuwezi Uwoya.
“Kwa hiyo utagundua chanzo cha yote ni mdomo wa Uwoya kutangaza kutompenda Diamond kwani alikuwa akimsema vibaya sana kwa watu wake wa karibu,” kilidai chanzo chetu.

BOFYA HAPA KUMSIKIA DIAMOND
Baada ya kujazwa habari hizo, mwanahabari wetu alilazimika kumtafuta Diamond ili kuhakikisha kama alichoelezwa kina ukweli ndani yake ambapo bila kinyongo, mkali huyo wa wimbo wa Kesho alifunguka:
“Dah! Japo yalishapita ila ni kweli Uwoya nilikuwaga nikipata taarifa kutoka kwa marafiki zangu kuwa alikuwa ananichukia sana.
“Nilikuwa nikijiuliza sababu za yeye kunichukia lakini nikawa sizipati hata kidogo na hata nilipochunguza niligundua kweli alikuwa hanipendi kabisa.
“Sipendi sana kuzungumzia ishu hiyo ila naweza kukubali kweli kuwa marafiki zake na wangu ndiyo walionichochea sana kukutana na Uwoya na sasa hatuna tatizo na tunaishi kwa amani na upendo ingawa mengi yamepita na yaliyosemwa sina sababu ya kuyashikilia, kikubwa tumuombe Mungu.”

KAMA KAWA UWOYA HAPOKEI SIMU
Ili kupata mzani wa habari hiyo, gazeti hili lilimwendea hewani Uwoya lakini kama kawaida, simu yake ya kiganjani iliita bila kupokelewa.

TUJIKUMBUSHE
Miezi kadhaa iliyopita, gazeti ndugu la hili, Ijumaa Wikienda liliripoti habari ya Uwoya na Diamond kunaswa usiku katika moja ya vyumba vya hoteli maarufu kwenye Ufukwe wa Bahari ya Hindi huko Mbezi Beach, Dar ambapo habari hiyo iliibua maneno lakini sasa mwanamuziki huyo amemaliza utata kwani nguzo na sifa kuu ya Global Publishers ni kuandika ukweli siku zote.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hv niaibu kiasi gani xo diamond amelala na uwoya kama kumkomoa jaman wadada embe fumbueni macho shame on u irene hata ukisikia ndiku anatoka na mtu mwache mkaka wa watu now ndio unajitia diamond kama michael jackson si ulikuwa umpendi

    ReplyDelete
  2. Hili domo senge tu likionaga haliko kwenye magazeti lazima litafute scandal kwa nguvu halina hata haya analipiza si bure huyu chai jaba atakuwa na matatizo

    ReplyDelete
  3. Hili Diamond kwanza jishoga tu...linatafuta umaarufu!

    ReplyDelete
  4. hee irene aibu mke wa mtu unajirahc ivo jaman ona haya

    ReplyDelete
  5. khs huyo uwoya ni kama matapishi ya mtu aliyefululiza pombe kwa cku tatu, mm niko ng'ambo, mjamaa mmoja wa nchi ndg jirani huko east africa alikuja hapo bongo na kudondoka na huyo dem, aliporudi acha atucharule na kututambia huyu ndio star wenu mnaejivunia? Hehee jamaa akaongeza kusema nimeharibu coner zote, malaya mkubwa mastar wetu mnatupa aibu, ebu jistirini nakujivunia kama nyinyi ni mastar.

    ReplyDelete
  6. Kweli Kaka ulioko nje umesema kweli hapa Bongo hakuna cha star wala nini ni Mbwa, tena wanatufanya hata ssis washabiki wao tuwaone kama mavi, kusema kweli hakuna star niliempenda na kumueshimu Kama UWOYA lakini sasa hivi namfananisha na yale maji ya chooni ninayojitawazia.

    ReplyDelete
  7. Halafu Diamond alikuwa anawasimulia watu wake wa karibu, mmoja wao ni rafiki yangu sana aliyeniambia story hiyo kabla hata haijaandikwa gazetini- tukabishana, kuwa Uwoya si lolote kwa sababu: kwanza hakumsumbua Diamond kutongoza, yaani kulikuwa na maongezi mafupi sana baina yao kabla Irene hajakubali kukutana na Diamond pale Kinondoni ambako ndipo walipopanga kwenda kwenye hoteli walokofumaniwa na GP. Halafu Diamond anadai kuwa alipoanza kumkaza Irene kule hotelini hata kabla hajalipia chumba, akakuta kuwa dada yule hajui kufanya mapenzi kitandania na hata uke wake siyo wa kuvutia kwa mwanamme kama ambavyo sura yake inavyoshawishi. Baadaye wakahamia kutumia mlango wa uwani karibu usiku wote, na Irene alikuwa anapenda sana staili hiyo. Diamond anadai kuwa hajawahi kulala na mwanamke kutokea huko nyuma isipokuwa siku hiyo alijifunza na akafanikiwa kuona manjonjo yake; rafiki yangu aliyeko karibu na staa huyo hajaniambia tena iwapo Diamond anayaendeleza au siku hiyo ilikuwa ndiyo mwanzo na mwisho wake.

    ReplyDelete

Top Post Ad