DIAMOND PLATNUMZ AZUNGUMZIA KUHUSU KIFOCHAKE

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Msanii anayefanya vizuri sana kwa sasa Afrika mashariki Nasib Abdul aka Diamond Platnumz amezungumza maneno mazito aliyokiri huwa yanamtoa machozi, ni mambo yanayohusiana na ‘kifo chake’!.
Dakika chache zilizopita hit maker huyo wa ‘Kesho’ ame post picha Instagram yenye sura yake na maswali yanayouliza nini kitatokea baada ya kifo chake. Tazama picha hiyo inazungumza yenyewe
Picha hiyo ilisindikizwa na caption hii
“One of my songs,always gets me crying whenever I listen to it, how I wish u would hear it, but then again I have no clue as to when I will release it… #WCB”
Platnumz amekaa kimya bila kutoa wimbo mpya kwa muda sasa, je unahisi kuna uwezekano ‘KAMA NIKIFA KESHO’ ukawa ndio ndio wimbo mpya anaotegemea kuachia hivi karibuni? Tusubiri tuone!

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Tulimsahau kanumba sembuse wewe?ila dogo kuna ueezekano unakufa soon,so jipange vipi penny amesha jifungua ?usije ukaenda bila Mtoto

    ReplyDelete
  2. unatafuta sifa, kama kufa utakufa tu na hakuna atakayekukumbuka labda mama yako. wacha ujinga ubishororo mwingi, kafanyiwe plastic surgery kupunguza mdomo maana unaongea sana.

    ReplyDelete
    Replies
    1. acha ujinga dogo,mbona comment zako zinaonekana kuongozwa na chuki binafc au ndo nyie mnaokerwa na mafanikio ya huyu jamaa.bosi wngu ilo domo ndo uumbaji wa mungu ata ww una kasoro zako pia.xo km unaweza anza kujikosoa ww kwanza thn ndo umgeukie mwenzko.fuck you!

      Delete

Top Post Ad