FLORA LYMO AMPONDA SPORAH NJAU KWA KUMWAMBIA TID NI MGONJWA KWENYE LIVE INTERVIEW

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Sasa wewe Sporah hebu jisikize Mwenyewe tena ,na tena 'huwezi na huruhusiwi hata kama ungekuwa Dactari'Afya ya Mtu au Ugonjwa wake unatakiwa kumuuliza yeye mwenyewe in a private'Or labda kama mmekubaliana na mkaandikiana na to be sign that you are agree with it' na siyo kama hivi kumuanika Live''kumwambia mtu yeye Afya yake siyo nzuri na huku umeshikilia mauchafu ulosomba huko mitandaoni ya Haters wake ambayo mengi ni ya Kimburulas na yenye kumtuhum kwamba anatumia Madawa ya kulevya (Drugs)na pia amekonda hata akivaa nguo hapendezi ,Ina maana hao hao wanaosema pia anatumia sembe 'ndo wamempa au ? mara anadokoa, Kusema kweli ungetakiwa uchague maswali yaku muuliza mengi yakiwa ni yako wewe Mwenyewe Sporah what your doing to T.I.D. Here is just ' ,abuse '' I'm sorry but you are and make me feel bad about you and All of those mamburulas'' Stop Abusing Him na kumuharibia Biashara yake ''Kudadadeki Watanzania tena kama wewe Sporah nilidhani ni Mtu ambae unatakia watu Mema kumbe ndo umeshakuwa wakuwatakia watu Mabaya tena kuwaharibia Biashara zao''so you just want to see all Watanzania not attend his Show kama wewe unavyofanya alafu ndo tukae Vibarazani na kwenye Vistudio tukiwasubiria waje ndo tuwashambe na hasa to Abuse them ? yani sikutaka kuambiwa nilitaka nione na kusikia mwenyewe and I just did that''na ndo maana nikaamua kukujibu pale nilipoweza '' kwani ninakazi zangu sina Muda huu wa Mamburula maswali ya Kijinga 'upumbavu mtupu' Tupa kule and I hope Wasanii wengine hutowafanyia hivi tena maana ndo will be the end of Sporah Show'' Mbuta Nanga'' Jirekebishe Mono Njau''Ruwa Mangi''

Hivi ni kwanini ulikuwa una taka aku hagi hagi ,akukumbatie huku umeketi chini ? how can you ask someone to give you a hug huku wewe kama mpokea wageni wako umekaa chini ? ungetakiwa kuamka ,kusimama then unamuuliza ask him for hug' au ndo ulikuwa wataka kumshika shika ili uone kama kweli kakonda ? why were you crying for His hug? yani mpaka nilitamani kuvunja my Laptop ''you were so annoying and Abusing Him' and that made me so Upset and Angry ''I don't want to watch the show anymore' you need kumuomba T.I.D Msamaha'' I mean wewe mbona Nguo zako zingine huwa hazikupendezi na huwa ni kubwa mwilini'so tuseme pia kukonda kwako ni Ugonjwa na hiyo ndo sababu au pia wewe unatumia sembe? what you feel watu tukianza kuuliza mitandaoni kukuhusu''and oh 'what happen with you and Jestina G' ulimchukulia Mme wake ? ndo sababu mkavunja penzi lenu na mlikuwa mashosti wa mwiko na ugali?'Yani Sporah don't even go there kuwauliza Haters wa Mtu wakuandikie vitu vya ku muuliza unae mfanyia Interview kabisa. Kumbuka hapa Duniani ukishakuwa na Kitu ambacho wengi hawanacho lazima utakuwa na Haters tena kibao 'so chakufanya ni kutokuwapalilia'kama unavyofanya wewe'' Anyway 'ni hayo tu from Flora Lyimo'Msema kweli wenu'mbuta nanga"

WATANZANIA MSOENDA KWENYE SHUGHULI ZAO''

Nikianza na wewe Sporah 'huendagi kwenye Shughuli zao hata Moja mimi tangu nianze kukusikia na kukutane na wewe uso kwa uso kwenye your studio sijawahi kukuona hata siku moja umehudhuria show zao 'Wasanii wa Tanzania hapa UK 'na huku wao wakija kwenye  studio yako unaanza kuwauliza Maswali ya kimburulas'' Au hata ukijishughulisha na kuhudhuria mambo yanayo wahusu Sisi Watanzania tuliopo Majuu UK 'Ningeomba siku moja ufanya Live Television show ambayo itakuwa broadcast at exactly the same time as you are interviewing Mtu' alafu uone kama kuna atakae kuja utaniambia Flora Lyimo ' nimekuonea hapa au hapana nimekuambia Ukweli wako'' Usione hawa Wenzetu waliokuwa fasta kukutumia maswali yao ya umburulas ukadhania wana mapenzi mema na T.I.D au hata ambae utakae mfanyia hiyo Interview '' Wasanii wanapata shida sana kupewa Pesa zao kihalali hapo na hapo tena kabla ya show au ya safari zao 'na vile vile Watanzania wenzao wakiwa ndo wanaogoma kwenda kwenye show zao kwa sababu zao binausi kukosa pesa pia kunachangia. Kwani kuishi majuu kwa Wengi ni hasara tupu ila wapo wapo tu 'anyway pia huwa wanambizana wasiende'' yani hii yakwako japo itakuwa pia ni bure licha ya kulipisha £10 pound pesa ndogo hivyo na inawashinda uone kama hiyo ya Live show watakuja''You know how good we are kwa kuangushana..Right'' na hicho ndicho tunashotakiwa kukipinga 'hasa kutokuwapa nafasi HATERS''Ila hapa wewe Sporah unaanza kuwashirikisha na kukukufanya wewe mwenyewe kuonekana Mburula''TUPENDANENI JAMANI AND YES YOU NEED TO APOLOGIZE''

Flora Lyimo Fashion Police "

You might also like:
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. banka dE booster fellaini10 July 2013 at 08:36

    Dada mbona kapanik xana kuhuxu TID wakat cku mbili mbele TID huyo huyo katoa maneno makali na ya kashfa msanii WAKAZI kuhusu kwenda kupga show BBA au hukuyackia ya TID kuhusu WAKAZ?? Me ckuona maswali mabaya bali nilishuhudia interview nzur na ya kuvutia iv kuna m2 mwenye maswal makali km SALAMA JABIR?? Muachen SPORAH afanye yake nanyi fanyeni yenu

    ReplyDelete
  2. Huyu aliye andika hata mtiririko wake ni kama anajifunza kuandika vile.... nadhani ni housegirl huko aliko. .....umeboa otherwise una personal issues na Sporah.

    ReplyDelete

Top Post Ad