FREEMAN MBOWE ATIWA MBARONI KWA TENA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mwenyekiti wa Taifa Chadema na Kiongozi wa upinzani bungeni Freeman Mbowe le amekamatwa na Jeshi la polisi nchini na kuwekwa chini ya ulinzi mkali  kwa takribani masaa matatu.

Taarifa zinadai kwamba, Mbowe alitiwa nguvuni na polisi  baada ya kuwatuhumu  kuhusika na mlipuko wa bomu la arusha katika mkutano wa CHADEMA.

Kuachiwa huru kwa Mbowe kumetokana na majadiliano ya kina kati ya polisi na mawakili wake ambao wa wamekubali  kujibu kwa maandishi ni kwa nini Mbowe aliwatuhumu polisi kwa mlipuko huo.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Yani huyu ni mwiba wa Taifa letu. Tumemchoka tumeichoka chadema. Nothing than ubaguzi na kuligawa taifa letu. Tuweni macho jamani

    ReplyDelete
  2. Yani huyu ni mwiba wa Taifa letu. Tumemchoka tumeichoka chadema. Nothing than ubaguzi na kuligawa taifa letu. Tuweni macho jamani

    ReplyDelete
  3. hahahaaaaaaaaaa mnapenda afe siyo? HAYA SASA WANAOSEMA NDIYO waseme ndiyoooooooooooooooooo NA WANAOSEMA SIYO Waseme SIYOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO???? HAYA WALIOSEMA NDIYO WAMESHINDWA. NA WALIOSEMA SIYO WAMESHINDA. UKIBISHA TUTATOA TAARIFA 2015 OCTOBER JUMAPILI MOJA HIVI.

    ReplyDelete

Top Post Ad