google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html GERALD HANDO ATANGAZA KUTOPIGA WIMBO WA JIKUBALI WA BEN POL KATIKA KIPINDI CHAKE CHA POWER BREAKFAST | UDAKU SPECIAL

GERALD HANDO ATANGAZA KUTOPIGA WIMBO WA JIKUBALI WA BEN POL KATIKA KIPINDI CHAKE CHA POWER BREAKFAST

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mdakuzi wako leo wakati nasikiliza kipindi cha Power Breakfast, Gerald hando amesema amechukizwa na Mwanamuziki Ben Pol kucopy na Kupaste wimbo wake mpya unaotamba kwa sasa wa JIKUBALI kutoka kwa Wimbo wa Script Feat Wiliam Am unaoitwa Hall of Fame....Gerald Hando aliyasema kuwa hata piga huo wimbo katika kipindi chake cha Power Breakfast...Hii ilikuja baada ya Msikilizaji kuandika Massage akiponda Ben Pol kukopy na kupaste ambapo Gerald nae alikandamizia kwa kumsaport...
Je wewe unasemaje kuhusu suala hilo la Ben Pol Kukopy wimbo wa nje na kuubadilisha kuwa wa Kiswahili?

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

37 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. vitu vinagongwa channel o ye analeta shombo zake asepe hata asipopiga haina tatizo ye ni nan kwan

    ReplyDelete
  2. plz b original alafu unategemea watu wanunue cd..shame on u..unafanya muziki wa kizazi kipya ufe..

    ReplyDelete
  3. We piga usipige watanzania tusha kubali wimbo na unatamba na tunao kwenye cm.......kwahyo kaz bure.......nyau ww.

    ReplyDelete
  4. Piga taarab 2 kama umemaindi maana nyimbo nyingi wasanii wanakopi.

    ReplyDelete
  5. Hata asipopiga yeye sisi ndiyo mashabiki na tumeupokea ni idea tu kwani yeye original vingapi anacopy....

    ReplyDelete
  6. Ac2letee pozi za kifara Uyo G.HANDO

    ReplyDelete
  7. Acheni ufala,mkiwa sapoti wataanza kuegezea paka basi.halafu mnakua hamna maana mbele ya mataifa mengine ktk music.

    ReplyDelete
  8. Clouds ndo zao....hivyo kukandamiza wasanii. Masultan wa bongo fleva. China iko pale kwa kucopy na kupest. India pia, kwenye viwanda inaitwa. "Reverse engineering"......... usultani wenu una mwisho chek our sis lady jd kawakimbia and many others to follow.

    ReplyDelete
  9. mbona Redio na TV yao wenyewe wanaiendesha kwa kukopi vipindi ya redio na TV za njee..Hawa jamaa wanavisa tuu..., na mwisho wao haupo mbali, upo kalibu sana...,

    Watu wakisha pata uwelewa 2, kuwa redio na TV yao inaendeshwa kimajungu wataiama. Mbona kuna Redio kali sana zaidi ya clous FM hapa TZ,

    Jamani Tuache kusikiliza hii Redio ya kipumbavu, kila leo ina2letea mambo ya ajabu ajabu 2..Tumechoka sasa. Bola 2sikilize East Afrika Radio na Kiss FM.

    ReplyDelete
  10. Watu wanao muunga mkono BEN POL yawezekana hatashule ilikua hivyohivyo,mwendo wakukopy na kupaste.msisapoti vitu kama hivyo mtawaharibu wasanii chipukizi jamani,kamahunatena mashairi pumzika kidogo,usilete njaa wangu utatuharibia wasanii wajao.Big up hando!!!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. acha ushamba wewe mwenyewe umekopy na kupaste vingapi tangu umezaliwa????? maisha yako tu umekopy na kupest potelea mbali huko kaungane na hao mashougger zako

      Delete
  11. Kama ameiga akapatia kuna shida gani????? mbaya kama angeiga halafu akauharibu wimbo Big up B Pol hao clouds achana nao wao vingapi wameiga na wanaendelea kuiga mpaka leo mbona hakuna mtu anaehangaika nao????? Serikali yenyewe inaiga baadhi ya vitu kutoka mataifa ya juu either inafanikiwa au inashindwa mbona hatuwasikii wakiponda wapeleke ushouggerr hukoo. Nasikia wako kwenye mkakati ili angalao mtangazani mmoja kati ya hawa G. Hando, Kibonde na PJ achaguliwe mkuu wa wilaya so wako busy kujipendekeza.

    ReplyDelete
  12. kwanza angalieni ukweli ulipo,wote tunajua clouds wazushi lakini hili la ben pol halipaswi kuungwa mkono.

    ReplyDelete
  13. clouds ni fake radio station inaboa sana siku iz ila kwa hili la uyu dogo ni kweli hamna haja ya kusapoti ubwege wa kukopi na kupaste music is all about creativity!!

    ReplyDelete
  14. Kuna bwege hapo juu kasema" wanaomsuport ben pol hata shule ukute hawajaenda"..wewe ni kuma,ww ni shule gani uliyoenda?!waliosoma hawajisifii hivi,au fala umeunga unga na kusoma kwa mateso thts y u wana be knwn as a fuckn' asshole educated one!!stupid..kakopi na kafunika mbayaAa..the kid z damn so so so gud.fuck u

    ReplyDelete
  15. Inawezekana Gerard Hando anatafuta KICK?

    ReplyDelete
  16. Wote mavi tu.usipige nyimbo we nani?!na ww kwa nn ucopy nyimbo kama ni kucopy wote tutakuwa wanamuziki

    ReplyDelete
  17. Hao BLAUZI FM wameona dogo anatisha wanataka kumharibia, weee AUNT HANDO acha roho mbaya.

    ReplyDelete
  18. gerlad ndo nan achape lapa.............sampling inafanyika all the tym kwny mzki....mama mia umerudiwa mara kibao,ub 40 walirudia i love your way kama ulivyo na ukwa kat ya their greatest hits ndo unasema benpol tena kaimb kiswhl acheni miyeyusho yenu nyie mashoga cloudz

    ReplyDelete
  19. Tuacheni suala la ushabiki, binafsi nakerwa na vitendo wanavyofanya clouds fm lakini kwa hili namsapot gerad 100%. Kama kuna mtu anamtetea ben pol, ajaribu kuisikiliza kwanza ile ngoma ya nje. Bora hata angeiba tone, tatizo kakopi everything kabadili majina tu.......shame on you bongo artists. Rama dee namkubali ndo mkali wa rnb na steve rnb ila sio ben pol. Nihayo tu

    ReplyDelete
  20. Hiyo ndiyo mambo ya BLAUZI FM.fuck u % times.

    ReplyDelete
  21. Kwan hamjui g.hando mtoto mchelechele.

    ReplyDelete
  22. Big up ben paul,tafuta na nyingine ukopi waone kama hatujaipenda.

    ReplyDelete
  23. Kama watu huwa wanatafsiri vitabu kutoka Lugha moja kwenda nyingine ili kuhakikisha ujumbe unawafikia wengi, Hata nyimbbo zinahusika pia kubadilishwa lugha ili watanzania wengi waelewe! Ben Pol wewe mkali endelea

    ReplyDelete
  24. hahahahaaaaaaaaaaa! kijiti chake kimeisha huyooooooooooo?

    ReplyDelete
  25. mnazingua clouz kwani kukopi kaanza ben pol semeni kama mshaanzisha bifu na huyo anyway pigeni za mnao wapenda coz 2shawazoea na bifu zenu za kisenge acheni malice bhana

    ReplyDelete
  26. Ata. Aliye mcopy akickia atafurahi coz katendea haki iyo. Nyimbo

    ReplyDelete
  27. Hv clouds fm ndo nnnn mavi mulkuja vzur xaiv kadri sku znavyoenda mnazd kupoteaa daaaa n kwele wapgieni hao hawacopy nakupaste achen zenu Ben pol Jembe la ukweli kaza mwanzo mwsho mbona hata sye tunajuaa mzki Wa tz n Wa wachache tuzo mnawanyma nje wanapewa Sjui mnajiona maboya clouds mshatuchosha punguzen clouds mbwembwezenu

    ReplyDelete
  28. Ok conclusion;
    Na mshindiiiiiiiiiiiiiiii niiiiiiiiiiiiiii BEEEEEEEN POOOOOOL
    CLOUDS FM acheni ny*ge mada fu*k

    ReplyDelete
  29. Asikilize mkundu wake unavyojamba basi asituletee shobo hapa mbona yeye anaiga maisha wakati uwezo hana.Ben Pol piga kazi achana na hawa vinembe wanaokufwata fwata!

    ReplyDelete
  30. mbona linah kakopy kwa dbanj na haukusema? we hando acha ushamba wa kiiraq bhana, kama hupigi wa ben pol, anza kuudis wa lina kwanza...

    ReplyDelete
  31. kama kucopy rahisi, Copy na ww tukusikie...

    ReplyDelete
  32. Gerald anajua nini kuhusu muziki? Aende zake mbona Power Breakfast ilikopy kipengele cha Bull's eye kutoka Citizen T.V ya Kenya wao wakiita JICHO LA NG'OMBE asijifanya mjuaji sana hana jipya.

    ReplyDelete
  33. ukitaka kujua maendeleo ya jamii yeyote ni uwezo wa jamii hiyo kusoma/kujifunza wayafanyao jamii nyingine na kuyachukua yaliyo mazuri halafu kuyabaldilisha ili kuyatumia katika jamii zao...ben ameonyesha uwezo wake katika kutuletea kutoka jamii nyingine...mwisho wa siku JKUBALI ni bonge la wimbo...wanaosikiliza redio ni wachache na clouds siyo redio pekee hapa tz...G.H aache kujidanganya...aamke asiendeleze tabia chafu ya kuwadharau/kuwakandamiza wasanii wetu...aachane na tabia CHAFU zinazoendelezwa na kufadhiriwa na hili dudu linaloitwa J.KUSAGWA

    ReplyDelete
  34. NYIE WOOTE MNAOMUUNGA MKONO BEN POL HAMUMTAKII MAENDELEO NA PIA HUENDA HAMJUI MAMBO YA MUZIKI NDO SABABU MNAMUUNGA MKONO BP KIUKWELI AKISHAONA TU ANAUNGWA MKONO NA WASHABIKI BASI ATAJIULIZA KWA NN AUMIZE KICHWA KUTUNGA NYIMBO ZAKE WAKATIZA KUIGA ZIPO KIBAO?

    ReplyDelete
  35. Oliver twist ikawa fiesta song kila walipokuwa na tamasha hadi redioni ikawa inapigwa sijasikia wakisema linah amecopy,
    dayna na baba levo waliulaalamikia my number one ya diamond lakini clouds ndio waliokuwa wanaongoza kumtetea diamond, hiyo nyimbo BEN POL kaitendea haki mwacheni alisongeshe mbona hamkupiga kelele bomboclat ya chameleon alivyocopy nyimbo ya Prof Jay?

    ReplyDelete

Top Post Ad