HII NDIO KAULI YA SINTAH BAADA YA KUTISHIWA MAISHA NA SHILOLE

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Akiongea kwa njia ya simu toka nyumbani kwake Sintah baada ya mtandao huu kutaka kueleza anachukuliaje vitosho hivyo vya Shilole ambapo alisema" Kaka naambiwa sana na watu hasa wanaofatilia mitandao eti natafutwa kupigwa na Shilole sasa ninacho shangaa huyo Shilole anapafahamu kwangu aje basi anipige au kwenye ofisi zangu anapajua namkaribisha vizuri sana jamani" Alisema Sintah

Aidha Sintah aliongeza kusema kuwa" Mimi huwa sio mtu wa maneno yeye aje tu anipige na sio kutangaza kwenye mitandao kuwa ananitafuta anipige hayo mambo ya bifu siku hizi watu wanayachukulia upuuzi kutafuta pesa ndio mpango mzima hivyo mimi namshauri Shilole kama underground wa sanaa nchini aachane na bifu badala yake akazane kwenye mambo yake ya kutafuta pesa kwa ajili ya maisha yake na familia kwani uzee unakuja" Alisema Sintah
Chanzo cha ugomvi huo ulitokana na Sintah kuandika habari kwenye mtandao wake kuwa Shilole hawezi kuimba na Jennifer Lopez wa Marekani bora hata Linah wa THT anaweza kufanya hivyo kwa hiyo Shilole aache kuidanganya jamii. Mtandao wa Sintah uliandika hivyo
Aidha Mashabiki mbalimbali hasa wasomaji wa kwenye mitandao wamemuunga mkono Sintah kuhusu kauri yake" Ni kweli jamani Shilole hawezi kuimba na Jennifer Lopez hayo ni masihara jamani kwenda marekani ndio aje kuongea ulojo kiasi hicho kwanza ikumbukwe kuwa wasanii wote wa tanzania kule Marekani hawajulikani hata, hasa kwa sisi tunaofatilia tunajia" Alisema mfanyabiasha wa kimataifa aliyejitambulishia kwa jina la Hamu Juma

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Lol nyie wachonganishi lol

    ReplyDelete
  2. Baada ya kushukuru at least kuna mtu ana ndoto za kuitangaza nchi zaidi na kuwatafutia soko wengine unamkatisha tamaa. Mbona hy Sintah anajiita jlo wakat hafanani naye ht kidg si kwa sura wala mvuto labd umalaya mbn hakuna aliyesema. Wasanii mpendane sio kukatishana tamamaa. Mbona Ali kiba aliimba na R Kelly au Mf mdg tu mzee Yusuph na Chid benz. Iweje shilole ashindwe.mxxxxuuuh acheni kuunderestimate wenzenu. Go goo girl Shilole do ya thing God z in control

    ReplyDelete
  3. Mbona umenena,huyo pimbi kujifananisha na Jl,sura nzito kama tope,loh,mbona watu wamemwacha ajifarague,mpuuzi tu,mwone na msura mbaya kama pakashume,mfyuuuuuuuuu

    ReplyDelete
  4. Sinta fala sana,anatafuta kk baada ya kudoda,Hilo moja.pili na ww shilole unifunze kuziba mdomo Kama kweli fanya watu waone.halafu punguzeni mabifu wa dada wa bongo

    ReplyDelete
    Replies
    1. Sintah jeshi la Mtu mmoja

      Delete
  5. Sinta miss wanna be! Pittyy badala yakumpa moyo mwenzako unaropoka upuuzi sikupendi we we pimbi! Hujiheshemu hata kidogo. Unatakiwa kua mfano Wa jamii. Sio tahira la jamii.

    ReplyDelete
  6. na nyie munayemuunga mkono sinta munashangaza hivi huyo jlo mnafikiri katengenezwa (kaumbwa kwa computer) yeye ni mtu kama watu wote kwa kuwa ni mahiri katika fani anao uwezo wa kukuchukua hata wewe akakwambia uwe unakohoa tu yeye anaimba fulani hivi, akatengeneza bt likatokea bonge la music ambalo hukutegemea, huyu shilo angesema anataka kushindana na jlo hapo ndo mngepaswa kusema yote mlioyo nayo kiba, angesema anataka kuimba na R Kelly kabla hajaenda usa mngemnanga hivyo hivyo, lakini kaimba nae kila mtu kamkubali A kiba wacheni hizo mwacheni ajarribu akichemsha ,ndo mseme mfahamu hao dada zetu huwa mara nyingi hawapendani,km kama yeye sinta alikuwa na hisia hizo alikuwa na sababu ganin za kutaka kuwalisha watu wengine mawazo yake kwenye chombo cha habari?

    ReplyDelete
  7. Sintah msenge...sikupend hata kidgo malaya ww,ndo mana uliachwa na juma nature kisa hujatulua..jit zima ovo kutaka show off,sura baya km tako lang la kushotl...pimb ww

    ReplyDelete

Top Post Ad