AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Aunty Lulu alinaswa na paparazi wetu maeneo ya Kinondoni, Jumatatu (siku ambayo Obama aliwasili) ambapo alionekana akipiga simu kwa rafiki zake wanaofanya kazi ikulu akiwaomba japo kitambulisho cha kuingia kwenye mkutano aliohutubia rais huyo.
Akizungumza na paparazi wetu Aunty Lulu alisema tangu aliposikia taarifa za ujio wa Obama Tanzania, alifurahi na alikuwa akimuota kila mara kwani huwa akisikia sauti yake akiwa anahutubia anachanganyikiwa ndiyo maana alifanya kila jitihada za kuingia ikulu lakini ilishindikana.
“Jamani serikali ingetuangalia hata sisi jamani tumuone Obama naye atuone sisi wasichana wa Kitanzania tulivyo wazuri, warembo na wakarimu, wageni wengi wakiingia Bongo lazima warudi kwa mara nyingine!” alisema msanii huyo.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
hawez kuwa mzima huyo aunt en lulu
ReplyDeleteAna wazimu
ReplyDeletesio ya kweli hayo wewe
Deleteago uongo 2 hta km ni udaku huu xaxa n offside Et “Jamani serikali ingetuangalia
ReplyDeletehata sisi jamani tumuone
Obama naye atuone sisi
wasichana wa Kitanzania
tulivyo wazuri, warembo na
wakarimu, wageni wengi
wakiingia Bongo lazima warudi
kwa mara nyingine!”
aisee hyo imegoma, tafuta nyngne
via makavu Live
Uyo boya mnampa promo sana,mwambieni atununui.
ReplyDeleteHuyo ni changu mzoefu
ReplyDelete