IDD AZZAN" NIPIGWE RISASI NIKIGUNDULIKA NAJIUSISHA NA MADAWA YA KULEVYA"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Baada ya Barua iliyosambaa mtandaoni ikimtaja Mbunge Iddi Azzan kuwa ni mmoja wa wauza Madawa ya kulevya ..Amejitokeza na kujipeleka polisi Mara mbili ili wamchunguze , katika mahojiano yake na kituo kimoja cha TV amesema kuwa yeye hausiki katika biashara hiyo bali ni watu wanao mchafua ili aangukie kisiasa..pia amesema kuwa endapo itabainika kuwa anausika yupo tayari kupigwa Risasi au kunyongwa...
Whats your Take on this?
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mhhh...!!Dunia mspito

    ReplyDelete
  2. Usikimbie kivuli chako, tulia uchunguzwe ww inatakiwa ufungwe maisha sio RISASI.

    ReplyDelete
  3. Tulia uchunguzi ufanyike usiwe na munkari wala mapepe!pia usiwafundishe watu hukumu ukubainika watajua wakupe adhabu gani mambo ya risasi hatupo baghdadi hapa.

    ReplyDelete
  4. unatatarika nini kama mkaa wa moto? Mbona unajiweka roho juu kushinda wenzio wote waliotajwa? Kama vip wataje wenzio urahisishe kazi acha kusumbua watu na kuwafanya watanzania hawana akili umesharibu watu wengi sana kwa tamaa yenu ya pesa.

    ReplyDelete
  5. Sasa huyu jamaa kama sio mbunge vile kweli teja,yaani ata sheria za nchi hazijui huku yupo kwenye chombo ambacho kazi yake ni kutunga sheria.Muuza madawa hapa nchini uwa hapigwi risasi labda kama anatunga sheria yake mwenyewe.Tulia unyolewe unapita kuomba kura huku unawahaaribu vijana jimboni kwako!Sasa hao wanaokupa ubunge waseme nini?Shame upon your face.

    ReplyDelete

Top Post Ad