JACK WOLPER AMJIBU MBAYA WAKE ALIYETANGAZA KUWA YEYE NI KAHABA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

  Msanii  nyota  wa  filamu  bongo, Jacqueline Wolper   amewataka  wasanii wa  bongo  movie  kuacha  tabia  ya  kupigana  majungu  ya  kinafiki  ambayo  huchangia  kujenga  bifu  za  kijinga....

Akiongea  na  mpekuzi  wetu, wolper  alidai  kuwa  kuna  mipaka  ya  watu  kuishi  lakini  kuna  baadhi  ya  wasanii  wanaamini  kwamba majungu  ndo  mshahara  wao  kiasi  kwamba  wasipomsengenya  mtu  basi  hawawezi  kuishi...

Wolper  anadai  kuwa   yeye  ni  miongoni  mwa  wasanii  wanaosemwa  sana  kwa  mabaya  hasa  kuhusu  maisha  yake  ya  kila  siku.Hali  hiyo  inatokana  na  umaarufu  alionao  ambao  huwafanya   wasanii  wenzake  wamchukie  hasa  wasanii  wa  kike...



  Hii  ni  kauli  ya  Wolper  alipoongea  na  mpekuzi:

"Wasanii  tungekuwa  na  ushirikiano  kama  nisha  tungefika  mbali  sana.

"Mimi  simuogopi  mtu  katika  maisha  yangu, lakini  ninachohitaji  katika  maisha  yangu  ni  Heshima.

"Ukiona  nimekukwaza, basi  njoo  nyumbani  au  nambie  nikufuate  ili  tuyamalize  kibinadamu  na  si  kudhalilishana  mitandaoni...

"Kuna  msanii  mmoja  wa  kike  amekuwa  akinichafua  sana  mitandaoni   kwa  kuniita  kahaba, najuza  na  matusi  mengine  kibao.

"Huyo  ni  mtu  anayetafuta  pakutokea, anatafuta  kujulikana  kupitia  Wolper  na  pengine  kafulia  na  sasa  anatafuta  mtaji.

"Tangu  anitukane  sikuona  haja  ya  kumjibu  kutokana  na  heshima    niliyo  nayo  katika  kazi  yangu  na  heshima  yangu  kwa  wazazi , ndugu  na  jamaa.

"Niliamua  kumwachia  mungu.Kama  ni  kahaba  au  najiuza, mungu  anajua.Alisema  Wolper  


Source:Mpekuzi Blog
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wlper hebu achana na huyo kinuka mkojo.wewe mbona uko juu sana...huyo hakufikii hata robo..hebu mpige na SILENCE WEAPON..usimjibu. IGNORE HER BIG TIME BANA, SIO SIZE YAKO KABISA...USIJISHUSHIE HADHI KWA KUDEBATE NAYE.

    ReplyDelete

Top Post Ad