JE ATAWEZA NINGOJEA MIAKA MIWILI BILA YA KUNISALITI-NAWIVU SANA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Niko abroad nimekuja kufanya masters ya miaka mi2,nimemuacha my sweet girl wangu Tz na ana umri wa miaka 26 now!anajitegemea anafanya kazi na nimemuacha anaishi peke yake,kabla sijaja huku tulitamani sana tufunge ndoa ila ilishindikana,kila mara alitamani mtoto maana tulipokua tukiwa pamoja alikua anasema anatamani awe na mtoto kipindi hiki cha umri huu yaani 26yrs,mi pia nilitamani nimuache na ujauzito ila sikumuacha nao. Kwasasa huwa tunawasiliana kwenye simu,Ila tatizo sasa mi nina wivu nahisi kama ndani ya hii miaka miwili anaweza kunisaliti hata mara moja,kuna wakati nikimpigia simu akiwa hapokei nahisi kama yupo na mtu huko. Plizzzz maoni yenu,Can she wait till am back??au na mi nihesabie kama sina kitu nikirudi nianze kutafuta upya?Bcoz I feel like doing that now.
Thanks.....hope to hear from You guys.


Source:Jamii Forums
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. lol!punguza wenge utamkuta mzima kabixa

    ReplyDelete
  2. Amini juu ya mazuri kwan aliwazalo mjinga ndilo himtokea.

    ReplyDelete
  3. Hiyo ni pata potea; kumbuka fimbo ya mbali haiui nyoka kama ulivyoambiwa hapo juu. Wanawake wote duniani huhitaji mwanamme kwa ajili ya kumpatia mayai ya kupata watoto na vile vile ambaye atatoa security ya kutosha kwake mama pamoja na watoto wake: ni kama simba walivyo. Iwapo atatakoea bwana mwingine akampatia mayayi ya kupata watoto na kumhakikishia security kwa watoto hao basi itakuwa imekula hiyo.

    Natural law has never been wrong!

    ReplyDelete
  4. nakushauri ufanye mambo ya msingi kwanza kuliko kuwawazia viumbe !!kwao kusahau ni sekunde tu endapo atajitokeza mkarimu na mwenye matarajio kama yako!!na kwa hapa bongo wapo wengi sana!!assume kama hayupo kaka

    ReplyDelete

Top Post Ad