google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html JINI KABULA "SIWAPENDI WANAUME WENYE WIVU NA WAKATI HAWANA HELA" | UDAKU SPECIAL

JINI KABULA "SIWAPENDI WANAUME WENYE WIVU NA WAKATI HAWANA HELA"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


MSANII wa filamu za Bongo, Miriam Jolwa ‘Kabula’ ameonesha kukerwa na wanaume ambao hawana hela   lakini wamekuwa wakijifanya wanajua kupenda sana huku wakiwa na wivu kupitiliza.

Akiongea na  mwandishi wetu , Kabula alisema anajua kupenda ni suala la msingi lakini anawashangaa wale wanaokuwa na wivu wa kupindukia na wakati mwingine kutoa vipigo kwa wapenzi wao wakati wao ni wanaume  wasio na kitu.
“Unajua nawashangaa sana wanaume wa aina hiyo, wanakuwa na wivu kupitiliza lakini hawawasaidii chochote wapenzi wao kifedha  zaidi ya kuonesha wana wivu  na wakipishana kidogo tu kipigo kinatembea, mimi wananikera sana,” alisema Kabula.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hana jipya huyu....umalaya umemjaa..kila mara anawaza kutombwa tu ili apate pesa...utakufa na mdudu kuma wewe

    ReplyDelete
  2. hum amr tu c'est quoi,Il pleuvait quand tu es née, car dieu a du verser toutes les larmes de son corps quand il se rendit compte qu’il avait perdu son plus bel ange.

    ReplyDelete
    Replies
    1. bon mon ami, c'est vrai ca!!!

      Delete

Top Post Ad