google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html JINI MAHABA LINAVYONITESA LINANIINGILIA MPAKA KINYUME NA MAUMBILE-HELP | UDAKU SPECIAL

JINI MAHABA LINAVYONITESA LINANIINGILIA MPAKA KINYUME NA MAUMBILE-HELP

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Hi ni history ya kweli ya maisha yangu naomba mnishauri wadau.
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 29 ni mkristu na ni mzaliwa wa morogoro mwenye asili ya mkoa wa kilimanjaro.Wakati wa utoto wangu nilikuwa ni mtu mwenye akili sana.Kuanzia la standard 1 mpaka form 4 nilikuwa naongoza nikishuka sana nakuwa mtu wa pili au wa tatu.Kifupi nilizaliwa nikiwa na akili sana pia nilikuwa na nyota ya kupendwa na watu na nililelewa kwenye mazingira mazuri nikiheshimu kila mtu.
Tatizo hili lilinianza nilipokuwa shule ya msingi yaani nilipofika std 7. Nilikuwa napita karibu na mto na kuna mti mkubwa.Nilihisi nywele kusisimka na nikawa kila nikipita hapo naokota pesa. Tabia hiyo iliendelea kila siku mpaka jamaa na wazazi wakawa wananiambia nawaibia na kusingizia naokota.Mpaka namaliza std7 nilikuwa sijawahi kutana na mwanamke.Nilipofika form 2 nikibalehe bt hapo ndipo nilipoanza hisi utofauti.Nilianza kupata wet dream ila nilijua ni kawaida kama mwalimu wa biology alivyotufundisha bt cha kushangaza ndoto hizo zilikuwa ni endelevu.Mwaka huo huo nilipata dada mmoja akawa mpz wangu ila nilipokuwa namdu sikuwa nahisi raha kama ambavyo naota.Pia nikaanza tabia ya uongo, uchonganishi, unafki, hasira pia nikawa nachukiwa na wanafunzi na hata walimu bila sababu.
Nilipomaliza form 4 nilifaulu kwenda A level pindi hko nilikuwa na mwanamke m1 ambae alikuwa na mimba yangu bt cha kushangaza ile mimba ilitoka kwa mazingira ya ajabu.
Nilipofika A level nikawa na tabia ya kujichua na kupenda wanawake kupitiliza.Nilikuwa natoroka shule na kutafuta wanawake kuanzia mabaamedi, mama guest mpaka wanaojiuza nikikosa napiga punyeto huku na zile tabia zingine zikiendelea.
Nilienda chuo kikuu k1 moro na kuendeleza hizo tabia mpaka nilipomaliza chuo na kuanza kazi arusha.Wakati nilipokuwa chuo nilimtia dada m1 mimba ila pia mtoto alifia tumboni bila sababu.
Nikiwa kazini arusha mabosi na wafanyakazi wenzangu wakawa wananichukia bila sababu mwisho nikafukuzwa.
Siku 1 nikiwa arusha wakati nimefukuzwa kazi nikaenda kanisa la safina.Nilijishangaa nilipopandisha mashetani baada ya maombezi na kuanza ku confess na hayo mashetani yakasema yote tangu kuniingia mpaka walivyosababisha kuua watoto wangu pia kunisababishia UKIMWI, kuchukiwa, kutopata maendeleo mi na familia yangu yote.
Nilimshukuru mungu na kuanza maisha mapya ya maombi ila sasa kuna lingine limeibuka.Nikipitiwa na kulala bila kusali huwa naingiliwa sana kinyume na maumbile nikiamka najikuta nimechafuka.Nguo zangu za ndani zinachafuka sana.Nateswa na haya majini natamani kujiua husasani kwa vitendo ninavyofanyiwa pia mi ni muathirika bila kupenda.Nimechoka na maisha haya sijui nitafanyaje?Mnanishaurije wana jf?Natamani nikipata pesa niende nigeria kwa tb joshua kwa ajili ya maombezi.Naombeni ushauri wenu.


Source:Jamii Forums
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

21 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. pole sana kijana mwenzangu ila unachotakiwa ni kupiga maombi,

    ReplyDelete
  2. Hapo ni kupiga goti kwa sana ndugu na kuwa karibu na Mwenyezi Mungu, watu wa Mungu na soma sana biblia. Sali kila siku kama unajua usipo sali ndo yanakutokea hayo basi kumbe tiba unayo....kama wenzetu wanasali mara 5 kwa siku nadhani nawe fanya hivo hata mara 3 basi na I am sure utakuwa free. Tb joshua waweza sali nae putia kwenye tv yake emanuel tv na yuko conected karibu kwenye mitandao yote ya
    kijamii wakati unajipanga kwenda kumtembelea. Mungu wetu ana nguvu zaidi ya yote hayo yanayo kusibu usikate tamaa wala kujiua....

    ReplyDelete
  3. Pole sana.
    Dar kuna mchungaji yupo boko anataka hy majini jaribu kumtafuta
    Boko magengeni

    ReplyDelete
  4. Mungu wa Tb Joshua ndio dawa

    ReplyDelete
  5. Njoo kwa mzee wa upako anton lusekelo.

    ReplyDelete
  6. Anayeweza kukusaidia kabisa ni umtafute sheikh au yeyote anayejua korani akusomee kisomo cha kuondoa majini hakika utafanikiwa.Mimi ni mkiristo lakini nakuhakikishia kuwa wengi kama sio wote,wachungaji wa kilokole ni wasanii walionunua nguvu za giza Nigeria,Ghana,Benin nk watayafanya hayo majini kupiga kelele lakini hawana uwezo wa kuyaondoa permanently kwa kuwa wao binafsi si wasafi kihivyo na wanapenda kuwafuga waumini wao kama watumwa huku wakiwakamua pesa bila huruma.Weka e-mail yako hapa nikupe maelekezo ya nini ufanye.pole sana

    ReplyDelete
    Replies
    1. giza aliwezi kutoa giza bali mwanga waweza toa giza,yesu ndie mwanga njoo kwake akuangazie hao wengine wote ni giza tu

      Delete
  7. Kijana muombe mungu akupe moyo wa usitahimilivu katika hili...Fanya kila jinsi uweke Emanuel TV cable kwenye Nyumba unayoishi... Sali saana kwa Imani na mtumishi wa mungu TB Joshua...na ikiwezekana utafute uwezekano wa kupata maji ya baraka kutoka kwake nina imani matatizo yote yatapungua ama kutoka kabisa....ikishindikana kabisa basi nenda Nigeria...Please kimbilia kwa YESU ukiwa na tatizo lako lote na ataliondoa!

    ReplyDelete
  8. Siri ya uponyaji ni kumfanya yesu bwana na mokozi wa maisha yako ukiombewa ukitenda dhambi yanarudi hayo majini kwaiyo ni lazima uokoke holi yanapokuja yanakutana na nguvu ya yesu

    ReplyDelete
  9. Siri ya uponyaji ni kumfanya yesu bwana na mokozi wa maisha yako ukiombewa ukitenda dhambi yanarudi hayo majini kwaiyo ni lazima uokoke holi yanapokuja yanakutana na nguvu ya yesu

    ReplyDelete
  10. uponyaji wako uko kwa yesu ukimwamini utapona nakushauri uachi vitu nyote vya dunia mfuaate yesu kwa matendo utapona wala haitachukua muda hapo kinacho takiwa ni imani tu na kuwa mwaminifu kwa mungu wako

    ReplyDelete
  11. yesu ndio kila ki2

    ReplyDelete
  12. Du tena una ngoma? We subiri kufa tu! Hakuna cha tj Joshua wala yesu.

    Nashauri usilimu ili usamehewe dhambi na ufe kifo kizuri

    ReplyDelete
  13. Pole mpendwa, YESU ni jibu la matatizo yako.

    ReplyDelete
  14. Kweli kaka kuslimu ndo usalama wako mungu wa kweli ni Allah peke yake ukiwa nae kiimani hauaribikiwi na quran ni muongozo pekee.

    ReplyDelete
  15. Mmmh ni hatari sana zidisha maombi kwa Mungu utashinda

    ReplyDelete
  16. Mmmh ni hatari sana zidisha maombi kwa Mungu utashinda

    ReplyDelete
  17. Kusema kweli namininapitia baazi yahizo changamoto nina miaka 33 sijaoa kinacho nizuia sielewi kabisa sina atamchumba huwa mawazo yanakuja yanapotea gafla miakainazidikwenda mwenyekuweza kunisaidia anicheki kwa namba hizi 0765255951 nipo dar

    ReplyDelete

Top Post Ad