KIKAPTURA KIFUPI CHA MTOTO WA KIKE WA RAIS OBAMA CHAZUA GUMZO KUBWA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Binti mdogo wa rais Barack Obama, Sasha, alikua jijini New York hivi karibuni akifanya shopping huku
amevaa kikaptura kifupi (short shorts, al maarufu kama daisy dukes.) Mapaparazzi walimpiga picha binti huyo akiwa mitaani na raha zake na kuuliza mitandaoni kama ni sahihi kwa binti wa miaka 12, kuvaa kaptura fupi hivyo. Kama kawaida za mitandaoni, kilichozuka ni ubishi mkali kati ya wanaoona si sahihi, hasa kwa binti ya rais, na wale wanaoona ni poa tu. Wewe upo kwenye camp ipi? Unaweza ruhusu binti yako avae kaptura kama hii?

Binti mdogo wa rais Barack Obama, Sasha, alikua jijini New York hivi karibuni akifanya shopping huku
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. C utamaduni wetu wenzetu kwao ni kawaida yao

    ReplyDelete
  2. sisi si culture yetu,ila kwao its normal,so its ok for her dressing!

    ReplyDelete
  3. Sa hiv kila mtu yuko huru hata akivaa gunia hakuna wa kumuuliza. Mbona hata bongo watoto wa viongozi wetu wanavaa wanavyojiskia tena hata zaidi ya huyo wengine hata maboxa yanaonekana nje

    ReplyDelete
  4. Kama ida,kunatatizo kwani?

    ReplyDelete
  5. Au ulitaka avae baibui?

    ReplyDelete
  6. Kumbe hata wazungu wanashangaa mtu kuvaa nguo fupi?

    ReplyDelete

Top Post Ad