KUNDI LA BAIKOKO TOKA TANGA NI BALAA TUPU...WAPI TUNAKWENDA?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Hizi  ni  baadhi  ya  picha  za  kundi  la  wacheza  uchi / nusu  uchi  maarufu  kwa  jina  la  Baikoko  lenye  maskani  yake Tanga....

 
 
 
 
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mungu a2nyooxhe 2 ktk njia iliyonyooka

    ReplyDelete
    Replies
    1. Usimlaumu dhobi kaniki rangi yake

      Delete
  2. Hiyo baikoko ngoma ya tanga ni jina tu. wengi wao wanaocheza hawatoki tanga. Pls mctuharibie cfa ya mji wetu.

    ReplyDelete
  3. MSITUHARIBIE GANI NA NGOMA YACHEZWA KWENU?

    ReplyDelete
  4. huyu dada anauza hiyo au anatangaza hiyo chupi yake.tanzania sasa hii laana tu.Tumuombeeeeeeeee

    ReplyDelete
  5. Hao siyo wacheza Baikoko Admn, hao ni wacheza shoo wa kanga moja.

    ReplyDelete
  6. mnashangaa nn wakati ulayaako siku nyiiiingi kwenye night club tena tumechelewa dahhhh

    ReplyDelete
  7. Mwajidai hampendi ngoma baikoko kumbe boo kila mara mwaulizana yapigwa wapi leo....watu makabila kwa makabila wakuona shoo.. Kama vile Massawe,Chipoko,Mwapikipiki,Katembo,Karumanzira,Mayala. sasa nashangaa mmekomalia ningoma Tanga kwani majina hayo ni ya kidigo?

    ReplyDelete
  8. mlee mtoto katika njia impasayo nae hataiacha hata atakapokuwa mzee

    ReplyDelete

Top Post Ad