LULU ASISITIZA KURUDI DARASANI

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

STAA wa filamu za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amekazia nia yake ya kutaka kurudi shule siku chache zijazo.

Lulu aliandika hayo juzikati alipokuwa akichati na mashabiki wake kupitia ukurasa wa facebook ambapo alikuwa akiulizwa maswali na kuyajibu live kupitia Runinga ya East Africa.

Mmoja wa mashabiki wake alimuuliza Lulu kuhusu mipango yake ya kurudi shuleni ambapo alimjibu kuwa yupo katika mipango  hiyo hivyo hivi karibuni atarudi darasani. 

“Am on process..soon mpenzi nitarudi darasani,” aliandika Lulu ambaye awali alidaiwa kukatisha masomo yake ya sekondari.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Fala tu Malaya mkubwa

    ReplyDelete
  2. Eti arud shule! Labda mbolo za wanaume ziwe zimekatika zote.

    ReplyDelete
  3. All de best lizzy

    ReplyDelete
  4. acheni kutukana jamani arudi shule asirudi yote ni maisha yake hayatuhusu.

    ReplyDelete

Top Post Ad