LULU MICHAEL AMWAGIWA SIFA KWA UZURI WAKE WENYE WIVU MJINYONGE

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Producer wa video za muziki Tanzanzia kutoka Arusha, Nisher, leo hii ameamua kumwaga sifa za kutosha kwa muigizaji Elizabeth Michael (Lulu), kupitia mtandao wa Instagram.Nisher amesifia baadhi ya viungo vya mwili vya dada huyo, kama zegembe, miguu, macho pamoja na smile yake.
Kwa mua mfupi tangu alipoingia kwenye utengenezaji wa video, Nisher amefanikiwa kutoa video kali kama "Mama yeyo" ya G Nako feat Ben Pol pamoja na "Jikubali" ya Ben Pol ambayo imefanikiwa kuchezwa kupitia kituo cha Televishen cha South Afrika "Channel o"




-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mtoto mzuri balaa amejaliwa

    ReplyDelete
  2. Hizo zote ni prom tu.

    ReplyDelete
  3. Mzuri mnooo duh !!! Nampenda sanaaaa

    ReplyDelete
  4. Oi'bdada kavp m nataka nkuoe au we unaxemaje.

    ReplyDelete
  5. sio mzuri wa nje tu hata ndani...wallah nataka nirudie tena..lulu mtamu kama dhambi...ukiifanya tu hauachi

    ReplyDelete

Top Post Ad