LULU "NAVUTIWA NA BEN POL, PIA NIMEOKOKA SITAKI UJINGA TENA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

MUIGIZAJI machachari wa filamu nchini, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amesema baada ya kupata misukosuko ya kimaisha, sasa maisha yake ameyaelekeza katika sala kumuomba Mungu amsamehe makosa yake. 


Lulu alisema hayo juzi, katika kipindi cha Friday Night Live (FNL), kinachorushwa na kituo cha Televisheni cha EATV cha Jijini Dar es Salaam.

“Sasa hivi nasali sana, namuamini Mungu katika maisha yangu na mbali ya kwenda kanisani, pia nasali mwenyewe katika sala zangu.

“Ningependa maisha ya sasa ninayoishi ningeishi siku za nyuma, lakini yote ya Mungu labda maisha yale nisingeyaishi siku za nyuma, ningekuja kuyaishi baadaye,” alisema Lulu.

Katika hatua nyingine, alisema anavutiwa na kazi ya msanii wa bongo fleva, Bernard Paul ’Ben Pol’ ambaye tungo za nyimbo zake zinamkosha kuzisikiliza.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Nouma ,miphoto yake ya uchi ,eti nasali sana.
    Ashaingia nuksi huyo,labda aloge mtu.

    ReplyDelete
  2. hivi si anaweza kuwa my good wife? but akiniua ndio hivyo""japo ningepata the way to communicate with her i could ave done it ealier..

    ReplyDelete
  3. Unasali nini sasa kama bado unavaa kiasara hasara kama vichangudoa?

    ReplyDelete
  4. Hivi ww huyu mungu alieumba mbingu na ardhi kisha akaumba viumbe na vitu vyote unamchukuliaje?hnajua kusali ww?eti nimeokoka acha ujinga dogo usimkufuru mungu kama biashara zako zimehamia kwenye nyumba za ibada kuwa muwazi.

    ReplyDelete
  5. Teh...mwisho wa maji ni matope..cheza sana we kijana ila jua duniani ni kama kiwanja cha mpira ukicheza rafu kadi nyekundu unapewa na sisi binadamu na tunakuhukumu.huwezi futa imani ya watu kama haukuua...rudi kijijini!

    ReplyDelete

Top Post Ad