MMILIKI WA HOME SHOPPING CENTER AMWAGIWA TINDIKALI

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mmiliki wa maduka ya Home Shopping Centre, Said Mohammed Saad ameripotiwa kumwagiwa tindikali jana usiku.
Kwa mujibu wa taarifa iliyoandikwa kwenye Jamii Forum, Saad anadaiwa kuwa alimwagiwa Tindikali maeneo ya Msasani City Mall muda wa saa 2 usiku.
“Jamaa aliyefanya kitendo hicho alitoka mbio, mlinzi akamkimbiza lakini bahati mbaya akateleza na kuanguka na jamaa akawahi pikipiki na kutoweka eneo la tukio,” imesema taarifa hiyo.

“Said amelazwa Trauma (AMI) Hosp – Masaki. Kapata madhara macho yote mawili ila moja ndilo limeumia zaidi sehemu ya juu. Mwenyewe anaweza kuzungumza japo amefungwa mashine sehemu ya pua na madaktari wanamhudumia. Polisi wanahaha kutafuta wahusika kwa nguvu kubwa na huenda akakamatwa mhusika mapema sana.”

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

13 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. SERIKALI YETU INANUKA RUSHWA,PAKAWATU WANAAMUA KUCHUKUA SHERIA MIKONONI MWAO,MTU KAMAHUYU ILITAKIWA ARUDISHWE KWAO YEMEN HATUFAI KABISA PAKA ANAKUA NAKIKUNDI CHAKUTEKA WATU?

    ReplyDelete
  2. Wanakula na vigogo,ngoja chadema wakamate nchi chamoto watakiona.

    ReplyDelete
  3. Chadema na CCM imeingiaje hapo.Wivu tuu umewajaa sasa Chadema wakikamata nchi kila Mtu atamwagiwa tindi kali

    ReplyDelete
  4. Anaeua kwa upanga hufa kwa upanga na bado mungu atamuonesha kwani yeye aliowafanyia watu is madogo hasira za watu hizo

    ReplyDelete
  5. Huyo sasa ameshakuwa ni kiongozi wa "mafia"
    na sio mfanya biashara muungwana,ingefaa serikali ya
    Tanzania kuchukua hatua kali kwa adui huyo wa taifa na
    kutaifisha mali yake yote na kupokonywa uraia wa Tanzania
    halafu asafirishwe kama hatahukumiwa.

    ReplyDelete
  6. na wewe fanya utajirike kwani hutaki utajiri umbea tu huna lolote unajua kuliko serikali

    ReplyDelete
  7. Safi sana mshenzi sana huyo saidi bora alivyo tolewa jicho kwani dhulma imezidi kwani sisahau alivyo nizika mshahara wangu wakati nafanya kazi kwao tabata eti kawacha kunipa mshahara wangu na kunifukuza kazi kisa nilimnyima penzi.sasa Leo kiko wapi kachukua Mke Wa mtu katolewa macho ama kwahakika alie

    ReplyDelete
  8. Safi sana mshenzi sana huyo saidi bora alivyo tolewa jicho kwani dhulma imezidi kwani sisahau alivyo nizika mshahara wangu wakati nafanya kazi kwao tabata eti kawacha kunipa mshahara wangu na kunifukuza kazi kisa nilimnyima penzi.sasa Leo kiko wapi kachukua Mke Wa mtu katolewa macho ama kwahakika alie Sema malipo duniani akhera huwenda hesabu hakukosea.

    ReplyDelete
  9. Bora wizi kuliko dhulma, wamewadhulumu watu wengi na ndo malipo yake atumie pesa zake arudi kama mwanzo kama ataweza ameshakuwa kilema kama vilema wengine

    ReplyDelete
  10. Nyote muna roho za uhasidi said kawatoka kimaisha kwa mda mfupi sana hicho ndicho kinawauma watu mbona Miranda mingi afanya anayo jumba kubwa kawahifadhi watoto mayatima na vijijini mingapi afanya..basi tu uhasidi mumemuwekea mutamfukuza bongo Dubai itampokea kwa mikono miwili Kwani majumba alikuwa nayo Dubai pia yanamtosha.huyo kamulikwa tochi na maulaana kashabarikiwa kuwa milioneya. .

    ReplyDelete
  11. Nadhani kijana haumjuwi said bora unyamaze,kwani ningeli sikitika sana ningeli sikia Ghalib Abdallah au Fahad yamemkuta basi ingeli niuma sana kwani haWa walikuwa no binadamu wenye iman sana na walikua wanaumia sana Kew vitendo vya kaka Yao Said sasa muache aje Dubai ikisha afanye hayo anayo yafanya huko Tanzania aone kama haja rudi kwao kwa meno,kutoka Dubai mpaka sanaa Yemen.

    ReplyDelete
  12. Apokelewe Dubai kwa mikono miwili kwani unafikiri serikali ya Dubai ndio sawa na serikali ya bongo,oya huku sio serikali ya rushwa,huku haki ndio inanafasi sio rushwa

    ReplyDelete
  13. Jamani people ts not good to wish bad for others...Allah pekeake ndio judge co nyinyi binadam...Allah atufanyie wepec sote na amfanyie wepec Said katka makazi yake mapya

    ReplyDelete

Top Post Ad