MONALISA AGOMA KUOLEWA TENA BAADA YA NDOA TANO KUVUNJIKA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Msanii mkongwe  kwenye  soko  la  filamu  Tanzania,Yvonne Cherry "Monalisa"  amesema  hatarajii  kuolewa  tena  baada  ya  kuvunjika  kwa  ndoa  zake  kadhaa  ikiwemo  ile  ya  producer  Tyson....

Akisimulia  mikasa  ya  maisha  yake  mbele  ya   mwandishi  wetu,Monalisa  aliema  kuna  siku  walipokuwa  kwenye  kikao  cha  sendoff  ya  mama  yake, alitania  na  kusema  ataolewa  disemba  lakini  hakuwa  serious....

"Sina  mpango  wa  kuolewa  kabisa,kwanza  sina  mchumba, ntaolewaje?

"Siku  ile  nilikuwa  natania  tu kwa  sababu  sipo  tayari  kuolewa  na  kuachika  tena"..Alisema  Monalisa
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Monalisa mi niko tayar kukuoa hata ndoa ya 6 cos nakupend kweli tena am serias,just contact me,wala usiogope u ll be myn 4rv

    ReplyDelete
  2. PUMBAFU WEWE MONALISA

    ReplyDelete

Top Post Ad