IRENE UWOYA AMWAGIWA MATUSI YAA NGUONI NA MASHABIKI WA BONGO FLEVA BAADA YA KUMFANANISHA 'DIAMOND PLATINUMZ' NA 'MICHAEL JACKSON'

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

MWIGIZAJI wa filamu za Kibongo, Irene Pancras Uwoya, amelowa mvua ya matusi baada ya kumfananisha mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na aliyekuwa mwanamuziki mkubwa duniani, marehemu Michael Jackson.
Wikiendi iliyopita, Uwoya aliandika kwenye ukurasa wake katika mtandao wa Instagram kuwa msanii huyo anayefanya vizuri katika Bongo Fleva ndiye staa atakayemrithi mkali huyo wa Pop, maandishi ambayo yalizua matusi hayo ya nguoni.
Baadhi ya mashabiki wa mastaa hao walitoa maoni kuwa jambo hilo ni sawa na kufananisha vitu ambavyo havina uwiano hasa ukizingatia Michael Jackson alishafariki dunia Juni 25, 2009.
“Sasa hiyo ni akili gani ya ki…(tusi) kumfananisha mtu aliyeko hai na marehemu?” alihoji Mishish, mmoja wa mashabiki wa Uwoya katika mtandao wa Facebook baada ya ishu hiyo kuwa gumzo mitandaoni.
“Kweli wewe Irene (Uwoya) ni …(tusi) au kwa sababu Diamond amesha…(tusi) ndiyo maana unamsifia kiasi hicho,” aliandika shabiki mwingine kwenye Twitter na kupisha wengine kuendelea kumporomoshea Uwoya matusi ya nguoni


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

12 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Aisifuye mvua imemnyea. Irene alishanyewa na Diamond, na hilo linajulikana wazi, kwa hiyo ni haki yake amsifie. Aibu ni kuwa yeye alinyewa kama malaya wa chap chap, wala siyo kama mpenzi wa Diamond, ndiyo maana alitaka jambo hilo liwe siri. Kwa bahati mbaya wameanza kutoa siri hiyo wenyewe pole pole, kwanza kwa Diamond kuanza kumtungia wimbo na kuwa anapost jambo lolote linalohusu Uwoya kwenye ukurasa wake; halafu Uwoya naye ameanza kutoa siri yao hiyo kwa kumtangaza Diamond kuwa ni Mfalme. Mwishowe watatangaza kuoana

    ReplyDelete
  2. Nimeambukizwa HERPES na ALBERT RWEHUMBIZA kaniambia katoa kwa mange kimambi

    ReplyDelete
    Replies
    1. Haituhusu nenda hopsptal ukaelezee matatizo yako. watu wengine mmekaa kishari shari all the times mnaandika vitu vya ajabu halafu mnaficha majina yetu kama unakijua unachokiandika hakina tattizo kwaninin utaje full names za wenzako halafu wewe full name yako uifiche??? kuweni na busara kidogo.

      Unawadhalilisha wenzako only b'se of tzs300,000??? tumeshawajua wote mnaolipwa ili kuwadhalilisha watu na kutunga story za uongo. mwisho wenu umekaribia tutwatoa live tena sio kwenye blogs tu mpaka na kwenye TV.

      Delete
    2. Hii story nimeisikia Atlanta na mkewe Joyce is kuchanganyikiwa.Well hii story imetapakaa mnoo

      Delete
    3. Huyu atakuwa mke wa Albert Rwehumbiza.Kama mange alilala na mumeo siumpigue .Mtatukanana Mpaka lini? Kwani bado anampigia mumeo ?

      Delete
  3. Kwa muziki upi wa kumfananisha na Michael huyo Uwoya choko2 na Diamond sawa na mfungua geti wa Michael.

    ReplyDelete
  4. Kwa muziki upi wa kumfananisha na Michael huyo Uwoya choko2 na Diamond sawa na mfungua geti wa Michael.

    ReplyDelete
  5. let us talk hivi huyu diamond mkamfananishe kweli na MFALME WA POP DUNIANI hao wenyewe wakina chriss brown,usher raymond,na wengine wengi wanakataa kufananishwa na huyo gwiji ETI INCHI YA TANZANIA MNAFANANISHA DIAMOND NA MICHAEL YAAANI NI SAWA KUMFANANISHA PAKA NA CHUI TOFAUTI KABISA YAANI AU MICHAEL TYSON NA MATUMLA,AU KWAVILE ALILALA NAE NDIO MAANA ANATAKA NASISI KUKUBALI UPAMBAVU WAKE
    PUMBAVU KABISA WW

    ReplyDelete
  6. hahaha mnazozana,kwani hamumjui michael jaco wa bongo!?

    ReplyDelete
  7. NIKAPUMBAVU KABISA HAKO CJUI KAKOJE TOKEA AMEACHANA NA MME WAKE AKILI ZAKE ZIMEKUWA HAZINA AKILI,WW M2 UNAAKILI TIMAMU UKAMFANANISHE MICHAEL JACKSON NA DIAMOND

    ReplyDelete
  8. hum amr tu c'est quoi,Il pleuvait quand tu es née, car dieu a du verser toutes les larmes de son corps quand il se rendit compte qu’il avait perdu son plus bel ange.

    ReplyDelete
  9. tangu lini malaya akaongea point jamannnn

    ReplyDelete

Top Post Ad