NANI MKALI KATI YA SHILOLE WA NAKOMAA NA JIJI NA SNURA WA MAJANGA?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Jana usiku Diva wa Clouds aliwakutanisha wanamuziki wawili Snura na Shilole ambao kwa sasa ni kama wanashindana kwenye staili ya Muziki wanao Imba ...Snura kwa sasa anatamba na wimbo wake wa Majanga wakati shilole ametoa wimbo wake unaitwa Nakomaa na Jiji unaotamba kwenye Redio Mbali Mbali...Sasa Katika Kipindi hicho Diva Alijaribu kuwachimba kama wana Beef kati yao lakini walikataaa....
Je wewe unavyoona kati ya SNURA NA SHILOLE nani Mkali?
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad