NAY WA MITEGO ASHANGAA KUONA WASHINDI WA BSS WAKIFULIA LICHA YA KULIPWA PESA ZA KUTOSHA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


 Hit maker wa Muziki Gani, Nay Wa Mitego ametuma salamu kwa mwandaaji ya shindano la Bongo Star Search, Rita Paulsen kuhusu zawadi wanayopewa washindi wa shindano hilo ambayo huwa haiwafikishi popote.
“Hizi Salamu ziende kwa Madam Rita na bongo star search. Mshindi analipwa nini mbona kama magumashi?! Namuona Walter Chilambo kapigika km zamani, haji ramadhani kachoka yupo kitaani. 


"Nauliza milioni hamsini zao anazila nani, acheni ubabaishaji wekeni mambo hadharani. #966#, salam zao# my new track,” aliandika Nay Wa Mitego kupitia Instagram.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kina Jumanne iddy,misoji nkwabi,Yule dogo wa mwanza sijui hata wako wapi?uko sahihi Ney wambie

    ReplyDelete
  2. Wanakula pesa zao kimya kimya sio mpaka atangazie umma..

    ReplyDelete
  3. acha kuzingua watu, sasa jumanne iddy anakula nini kimya kimya wakti anaonekana kupotea kabisa ktk ulimwengu wa music pia hata pesa amefulia kinoma. Ney wachane

    ReplyDelete
  4. Wachane brother Nay jumanne Idd Dinga yake kashafanya Tax na bado anasota 2 kitaani!

    ReplyDelete
  5. Watoto wenyewe akili zero, wakipata wanadhani dunia iko kichwani kwao na hawataki kuwa chini ya management za uhakika wakidhani wao ni masuper star wanajua kila kitu, mwisho milioni hamsini si chochote kama hamna mipango endelevu wanafulia! Baada ya kushinda watumie fedha vizuri kwa kuinvest ktk miradi endelevu na kujiendeleza kimuziki sio kumaliza mademu wazuri wa bongo movie, hela zote wanahonga alaf mnailaumu BONGO STAR SEARCH????

    ReplyDelete

Top Post Ad