"NILIJUA TU KWAMBA WANAFIKI WATAFURAHIA MATESO YANGU" ....AGNESS MASONGANGE

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


VIDEO Queen ambaye hivi karibuni alidaiwa kukamatwa na madawa yanayosadikiwa ni ya kulevya ‘unga’ nchini Afrika Kusini ‘Sauzi’, Agness Gerald ‘Masogange’ amefunguka kuwa alijua watu wengi watafurahia kilichompata kwa kumuongelea kila wakati.

Akizungumza na mwanahabari wetu kwa njia ya simu akiwa Sauzi, Masongange ‘alishauti’ kuwa watu wengi wanamuongelea vibaya bila kujua nini kilichompata  hivyo anaamini hata marafiki zake wa karibu wamefurahia tatizo alilopata.


“Najua kabisa kuna watu wengi wamefurahia tatizo nililopata lakini watambue kuwa kila mtu anaweza kupata tatizo hivyo wapunguze kuongea sana bila kujua ni kitu gani kilichotokea juu yangu,” alisema Masogange ambaye atapanda kizimbani kwa mara ya pili mwezi ujao.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

12 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Si0 wakat wa lawama saa hz, Cha msingi ni kumuomba MungU akuokoE kwa kesi mbaya ulio nayo! Hata ungefanikiwa ingekuwa faida kwako na kwa familia yko. Ila usijali ni aina ya maisha uliyochagua kufanya!!!!!! MungU atawasaidia.

    ReplyDelete
  2. aende zake huko sasa anamlaumu nani?

    ReplyDelete
  3. Khaaa ndooo ukomeeeee

    ReplyDelete
  4. Rudi mama kama umefilisiwa njoo ujipange tena,ila hamukomi jaman mwafa nyie punda watu

    ReplyDelete
  5. mama mchuma janga hulila na wa kwao.

    ReplyDelete
  6. Hakuna cha wanafiki ni tamaa tu,watoto mnapenda maisha mazuri bilakufanya kazi,wewe subiri mvua 20,ukitoka huna soko,umeshakuwa mzee,hilonifundisho kwako na kwa wote wanaopenda mteremko.

    ReplyDelete
  7. Ka vip wakunyonge tuu

    ReplyDelete
  8. Sasa ulitaka tukusifie au? furahia faida hiyo ya uliyoyafanya!

    ReplyDelete
  9. Sasa ulitaka tukusifie au? furahia faida hiyo ya uliyoyafanya!

    ReplyDelete
  10. Natamani ningekua Mr. Jela huko walikokuweka rumande. Muda mwingine natamani kuwa polisi.

    ReplyDelete
  11. RICHARD MZIRAY NDIO SOURCE YA VIJANA kuuza SEMBE .Akamaywe kwishney tatizo

    ReplyDelete
  12. Tamaa inawaponza sana nyinyi Binaadam...mimi naona uchukuliwe hatua kali ili iwe fundisho kwa akina flani wenye mawazo ya kipumbavu kama yako...Sidhani kama wazazi wako wangekuwa wahanga wa DRUGS "MATEJA" ungethubutu kufanya kitu kama hicho ili uje kuwaua vijana wenzako wewe Mbwa!@!!Yaani kama ndio ningekua Jaji katika kesi yako wewe Mbwa...ungejuta kwa nini umezaliwa katika dunia hii...!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad