NILIMDANGANYA BOYFRIEND WANGU KUWA KWETU NI MATAJIRI SASA ANATAKA KUWAONA WAZAZI WANGU

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Nilipokutana na Boyfriend wangu miaka miwili iliyopita sasa kosa nililofanya ambalo nalijutia ni kujifanya kwetu ni Matajiri huwa namdanganya vitu vingi sana ikiwemo kuwa kuwa Baba angu na Mama angu wanaishi Mbezi Beach na kwenye Nyumba ya Ghorofa , Ila ukweli wazazi wangu ni Masikini wa Kutupwa wanaishi Bagamoyo Ndani ndani ...Sasa kijana huyu amekuwa serious kwa sasa anataka kunioa na mimi ki ukweli kadri siku zinavyokwenda nimezidi kumpenda sana,,Anataka nikamtambulishe Home ili Aaanze Maandalizi ya Harusi....Sasa Sijui nifanyaje ..Mweeeeee
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kiruu sasa unaogopa nini.... Endelea kumdanganya ila sasa mwambie benki imewafilisi hivyo wazazi wameamua kwnda kujificha bagamoyo
    Mbona its so simple

    ReplyDelete
  2. Hahahahah we ushauri wako nimecheka kidogo,

    ReplyDelete
  3. hiyo ndio faida ya uhongo kwani ukiongopa mara moja unatakiwa uhongope tena mara kumi ili ku-cover ule wa kwanza so endelea kumdanganya, fuata ushahuri wa mjamaa hapo juu, kuwa bank imewafirisi na bado wanadaiwa so wamejificha vilage nikikupeleka watakuzania wewe police unawafuatilia.

    ReplyDelete
  4. No!
    Nyie ndo hamna mawazo hata kidogo.
    Muhim km kweli umempenda bhac mwambie ukweli cz hata ukiendelea kumdanganya ipo atajua zen utakuwa mxala.

    ReplyDelete
  5. Ha,ha,ha,ha, mtafutie siku amefurahi ikiwezekana mpe hiyo nanii vizuri mpaka mdomoni uhakikishe ameinyonya vizuri, halafu muombe samahn kwa kumdanganya kwenu matajiri mwambie ulifanya vile ili akupende. Baada ya hapo mpe mda akufikirikie upya kama yuko serious anakupenda hatajali ulimdanganya.

    ReplyDelete
  6. Hili nitatizo la kina dada na kina kaka kusema isivyo Upendo wa kweli nipale mtu anasema ukweli tangu siku ya kwanza. sasa ulimwambia uongo je ata akuamini kuwa huna mwingine pembeni? kama ulisema uongo kuhusu wazazi wako ambao nafasi ni ndogo sana katika mahusisno yenu Je utaaminiwa katika simu, mwanaume mwingine,kisomo chako, n.k. ila pinga moyo konde Mwambie Ukweli wote kama una picha ya wazazi wako, nyumba yenu , nk. muonyeshe. Lakini uwetayari kwa lolote litakalo tokea kuacha, kutokuamini kabisa hata kufikia kuanza kungalia ni nani unazungumuza naye,messege hii imetoka kwa nani? hata kama atakukubalia kukuchukua imani na wewe itakuwa ndogo sana. Mwambie ukweli wote kama una mtoto huko bagamoyo uliye mzaa lakini anakwita Dada (sio mama) wazazi wako walimchukua akiwa mtoto Mwambie kama umewahi kuolewa mwambie Maana ntukuja kuvunja uhusiano kama atakuja kungundia huko mbele kama atakusamehe.

    ReplyDelete
  7. C umezoea uongo endelea ivoivo

    ReplyDelete
  8. Mwambie wamefilisika au ww unaona aje

    ReplyDelete
  9. hilo c jambo kubwa ucogope mwambie ukweli maana kakupenda wewe c utajiri wa kwenu. FUNDISHO KWA WENGINE

    ReplyDelete

Top Post Ad