NIMECHOKA KUMSALITI MUME WANGU NAOMBENI USHAURI

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Niliolewa na mume wangu April 2010. Ingawa kwa mara ya kwanza sikuwa nampenda mume, lakini nilikuwa nazidi kuzeeka na sikuweza kumpata mwanaume yeyote wa dini yangu na kabila langu, wazazi wangu walinitambulisha kwa huyu mwanaume na kunilazimisha niolewe nae.

Mara ya kwanza natoka nje ya ndoa ilikuwa bahati mbaya. Nilikutana na mpenzi wangu wa zamani na tukabadilishana Pins zetu za BlackBerry. Huwa tunachat mara zote na nikaanza kutoifurahia ndoa yangu kwahiyo nikamshawishi huyu ex wangu. Tukaanza kukutana na kuanza kufanya mapenzi. Baadae akahama kutoka huku mjini na kuhamia mji wa mbali na hatimae mahusiano yetu yakaishia hapo.

Kutoka hapo nimekuwa na mahusiano na wanaume wengine wanne akiwemo mume wa rafiki yangu. Nina watoto wawili na mume wangu lakini siridhiki katika mapenzi.

Mume wangu ni mpole na ananipenda, na nimetokea kumpenda lakini nashindwa kuacha mahusiano yangu ya nje ya ndoa. Kinachonisikitisha zaidi ni kwamba mume wangu hajui chochote kinachoendelea. Simpi nafasi yoyote ile ya kuwa na wasiwasi na mimi. Nafuta sms zote kwenye simu yangu ingawa huwa hana tabia ya kuchungulia simu zangu. Nahakikisha hagundui chochote kwasababu nataka familia yetu isisambaratike.

Hivi karibuni nimeongea na mchungaji wangu ambaye amenishauri niendelea kumwomba Mungu na kufunga lakini hii hainisaidii kwasababu bado naendelea kutoka nje ya ndoa.

Najua natakiwa kuacha lakini sijui ni vipi. Tafadhali nisaidieni.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. U need delever u have demon my sister

    ReplyDelete
  2. mnarudia kila mara,hamna vingne,blog gani hii ya kichoko!

    ReplyDelete
  3. Utaacha utakapo ukwaa UKIMWI,ww endelea 2.

    ReplyDelete
  4. Kuna watu matahaira jamani eti "kinachonisikitisha zaid ni kwamba mume wangu hajui chochote kinachoendelea" kwahiyo ulitaka ufurah endapo mumeo angegundua unachofanya?? Hv wa2 wengine mkoje nyie, umalaya mmeuona big deal eeh?? Mamae zenu..

    ReplyDelete
  5. ongeza juhudi serikali inatoa dawa buuureee!

    ReplyDelete
  6. ongeza juhudi serikali inatoa dawa buuureee!

    ReplyDelete
  7. Ukitaka uache Mwambie mumeo. Ukikosa huo ujasiri basi utaendelea mpk ufe...

    ReplyDelete
  8. Haya, nimefurahi sana kuwa ndoa yangu iliyovunjika imerejeshwa na mume wangu amerudi baada ya kuniacha mimi na watoto wetu 2 kwa mwanamke mwingine. Baada ya miaka 8 ya ndoa, mimi na mume wangu tulibishana hadi mwishowe aliniacha na kuhamia California kuwa na mwanamke mwingine. Nilihisi kwamba maisha yangu yamekwisha na watoto wangu walifikiria hawatamuona baba yao tena. Nilijaribu kuwa na nguvu kwa watoto tu, lakini sikuweza kudhibiti maumivu ambayo yalitesa moyo wangu. Moyo wangu ulijaa wasiwasi na maumivu kwa sababu nilikuwa nikimpenda sana mume wangu. Ninamfikiria kila siku na usiku na siku zote natamani anirudi kwangu. Nilikasirika sana na nilihitaji msaada. Kwa hivyo nilitafuta msaada mkondoni na nikapata wavuti inayosema whitemagicmaster. , Kwa hivyo nilihisi kama ninafaa kujaribu. Niliwasiliana naye na akaniambia nifanye na nikafanya, kisha akanitengenezea moja (upendo spell) kwa ajili yangu. Masaa 28 baadaye mume wangu alinipigia kweli na kusema ananikosa sana na watoto. Ajabu sana !! Kwa hivyo alirudi kwa upendo na shangwe siku ile ile na akaomba msamaha kwa kosa lake na kwa maumivu aliyonipata mimi na watoto. Basi, tangu siku hiyo kuendelea, ndoa yetu ilikuwa na nguvu kuliko hapo awali, shukrani zote kwa mzungu. Yeye ni mwenye nguvu sana na niliamua kushiriki hadithi yangu mkondoni kwamba whitemagicmaster ni mchawi wa kweli na mwenye nguvu. Nitawaombea kila wakati kuwa anaishi muda mrefu kuwasaidia watoto wake katika wakati mgumu wakati mko hapa na unahitaji baba yako wa zamani au mumeo amehamia kwa mwanamke mwingine, au unataka Herb apate ujauzito.stop kulia, wasiliana na huyu mchawi mwenye nguvu sasa. Hapa ni mawasiliano yake: Barua pepe kwa: wightmagicmaster@gmail.com

    ReplyDelete

Top Post Ad