NINI SABABU YA MWANAUME KUMWAGA KABLA YA TENDO

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Wazee Nina Tatizo la kumwaga haraka nikiwa na mwanamke .saa zingine hata kabla sijaingiza ,,najikuta zimeshatoka ..na zikitoka siwezi tena endelea na Tendo ...nini sababu ..na dawa yake ni nini?
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hilo sio tatizo ila mshukuru sana Muumba kwa kukupa ulizi wa hali ya juu....wewe ukimwi wala magonjwa ya zinaa utayasikia tuu...na jitahidi sana kufanya punyeto itakusaidia walau kidogo

    ReplyDelete
  2. Pole Hilo ni tatizo, inawezekana ulikuwa unapiga sana punyeto inaweza changia tatizo Hilo, waone madaktari au wataalam ili upate utatuzi mapema, Sababu wanaume wenye tatizo Hilo mbegu zao ni dhaifu na hata akiweza kumuingilia Mwanamke hawezi mpa ujauzito kwa kifupi wengi wao wanakuwa tasa. Halafu chunguza Kama zinatoka nyingi na nyepesi ni tatizo.

    ReplyDelete
  3. Mmmh inategemea wanaume wengine wanakaa muda mrefu bila kufanya so akisimamisha tuu anamwaga

    ReplyDelete
  4. una ukame wa demu,sungura weee katafute mademu tisa utapona.

    ReplyDelete
  5. acha uowoga kaka; jiamini

    ReplyDelete
  6. Piga puchu kwa xanaaaaaa....utapata jibu.

    ReplyDelete
  7. kuta vitu kila usubuhi na jioni... matokeo yata kuridhisha

    ReplyDelete
  8. Hilo ni tatizo kaka la kisaikolojia, sababu kubwa inayosababisha hio ni punyeto na kuangalia sana filamu za ngono. Kupiga punyeto sio vibaya ila kama ulikua unapiga punyeto kupitiliza hilo ni tatizo na saikolojia yako inaweza athirika, na moja ya athari ya punyeto au kuangalia filamu za ngono kwa sana ni kukojoa mapema au hata kabla ya tendo lenyewe, athari ya pili ni kutosimamisha uume vizuri, unakuta uume wasimama ila sio kwa kiwango chake cha mwisho, athari ya tatu ni kupungukiwa hamu ya kufanya tendo la ndoa.

    Njia za kutatua tatizo hilo ni kujizuia na kuacha kabisa kuangalia filamu za ngono na ukiweza kama ulikuwa unapiga punyeto kwa sana, achana nayo kabisa. Kisayansi inasemekana kwamba itakuchukua angalau siku 60 kwa saikolojia yako kurudi katika hali ya kawaida na kuweza kufurahia tendo la ndoa. Jaribu kujizuia na hivyo vitu.

    ReplyDelete

Top Post Ad