PICHA MBALI MBALI ZA OBAMA MARA BAADA YA KUWASILI TANZANIA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 Hapa akicheza ngoma
 Hapa akiwa na raisi kikwete
 First Lady wa USA akisalimiana na First LAdy wa Tanzania


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mr. Sambiti unasoma sana magazeti! Pole, inaidi usome vitabu vilevile ili ulinganishe habari kabla hujatoa maoni yako. Ndio maana Africa tunao viongozi wabovu japo wameenda shule! Usivutwe na habari za msikitini/kanisani halafu ukatoa mjadala wako bila ya kuutafakari.

    ReplyDelete
  2. Mr.Obama karibu Tanzania,lakini tambua serikali ya ccm ni ya mafisadi na wauaji wanaoua waandishi wa habari,raia na kuwapiga mabomu wapinzani kwenye mikutano ua hadhara.Mikono yao inanuka damu.Obama kanawe mikono kwa jik imechafuliwa leo.

    ReplyDelete
  3. Asante baba tumekusoma karibu mama hii ndio Bongo uzushi mwingi, uwongo kibao, njaa mingi, mafwisadi kabao, changudoa kibao, nk.

    ReplyDelete
  4. karibu obama lakini tambua wanaokupa mikono ya karibu mgeni ni wanafiki na wenye matabasamu ya uwongo(fake smiles) usiishie movenpick njoo mtaani uone maisha yalivyo magumu kutokana na hao viongozi!!!!!!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad