PICHA ZA MAENEO YA IKULU MUDA HUU WAKIMSUBIRI BARAKA OBAMA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Taswira mbalimbali zinazoonesha maandalizi ya mapokezi makubwa ya Rais wa Marekani Barack Obama atapowasili Ikulu jijini Dar es salaam mchana huu. 


Rais Jakaya Mrisho Kikwete kama ilivyo kawaida yake amepita kila mahali kuangalia kwamba mambo yanaenda vizuri, ikiwa ni pamoja na kusaliamiana na makundi ya wananchi wa Dar es salaam walioko katika lango kuu la Mashariki.


 Barabara ya Ocean sasa imebadilishwa jina na kuitwa Obama Drive...Hapa kikwete Akikagua



-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. ni ujinga mtupu amekuja kuidhinisha suala la kufilana na kusagana kama hamjui ndo hivyo ila Rais wa senegal amekataa huo ujinga kabisa, huyu mbulula wetu lazima akubali tu maana anapenda misaada sana toka kwa marekani kila siku safari haziishi kabisa rais gani hajui hata matatizo ya wananchi wake.

    ReplyDelete
    Replies
    1. WE MALAYA KWELI KILA KITU KINACHOFANYWA NA SERIKALI UNAKIONA KIBAYA,NAJUA WEWE NI CHADEMA TU ILA UKWELI NI KWAMBA SERIKALI IMEFANYA MAZURI MENGI KULIKO MABAYA NA CHADEMA NI WANAFKI NA WATAWABULUZA WAJINGA WAJINGA KAMA WEWE.NA USIPOTUMIA AKILI UTAFILWA NA VIONGOZI WAKO WA CHADEMA MAANA KILA WANACHOKUAMBIA WE KWAKO SAWA

      Delete
  2. Loh,matusi mazito wapendwa,mwogopeni Mungu wenu,binadamu 1 ndo awagombanishe nyie ndg zangu tena mpita njia,hamjioni kama nyie ni wajinga,na ndo lengo la wageni kuwagonganisha vichwa ili hali yao yanaenda,poleni,ila viongozi wetu sifa zimewazidi,wao wakienda huko huwa wanapokelewaje? Jiulizeni,ebu ona hiyo mitambala,sijui mitenge jengo la Ikulu,what for? Useless

    ReplyDelete
  3. Wewe unaetukana chadema MATAKO yako.

    ReplyDelete
  4. Tanzanian we should understand one thing we had a socialism backgroung on which its impact we are facing right now.No one is perfect hamna cha chadema wala ccm when it come to issues like this.top leaders they should discus what are the main issued they could put in the paper when smone like him came.the oposition parties could give their views even tho its not a must gort could take it.kama hawakuona umuhimu wakuwaalika nt real bad but next tm prezo should take into considaration.
    Nanyie mnaotuma lugha ya matus its not the right place and ur hunger wont change anything.
    Remember One thing weka wogawako pembeni,analyse mazuri na mabaya ya kila upande 2015 chagua kiongozi UNAEONA atakuwakilisha vizuri and not a political party. Hata kama ni hiyo CCM nt all people are bad.
    NA TUMPUNGUZE KUPENDA KUSAIDIWA AU MISAADA AU VYA BEI RAHIS.Cheap is always expensive.
    Mchina anakwambia africa wanapenda bei rahisi so na sisi tunawawekea less durable or cheap software according to their need.Na watu wasiseme mchina kaharibu soko its ourselve we have put the rest of the world to hv that bad perception about us.
    Please tulio pata chance yakupanua wigo wa ufikiri please lets be salt.

    ReplyDelete

Top Post Ad