SAD:MCHUMBA WA NEY WA MITEGO AANGUKA, MIMBA YACHOROPOKA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Rapper Nay wa Mitego leo anasherehekea siku ya kuzaliwa ya mchumba wake aliyekuwa mjamzito kwa huzuni kubwa baada ya mchumba wake huyo kukipoteza kichanga chao kufuatia kuanguka jana usiku.

“Jana usiku mke wangu alianguka, alifikia tumbo kwahiyo akawa anasikia kizunguzungu nilipompeleka hospitali daktari akasema mtoto amekufa,” Nay
Awali, Nay wa Mitego ameweka picha ya mchumba wake kwenye Instagram akiwa hospitali na kuandika: Happy bday my lv, Mungu akupe maisha marefu na yenye mafanikio tele. Japo imekukuta uko vibaya tumempoteza kijacho bt ni mipango ya mungu, nakupenda sana mke..!! #966# happy bday 2u ma.”
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Pole mrembo n happybirthday mungu akupe nguvu pole sana ney wa mitego

    ReplyDelete
  2. jinga kabisa kila mtu anapoteza mimba mnaona sie wajinga mamaaaae!! WEMA MIMBA ILITOKA PENNY NAE HIVYO HIVYO.............. WASENGE NYINYI MAMAAAEEEE!

    ReplyDelete
  3. Mnatoa kafara izo mimba mimba ama nini, ni mademu wa mastaa tu wanao toka mimba mbo hatujawahi kuona kwingine mimba zinatoka kirahisi ivo

    ReplyDelete
  4. mafala sana mnatoa mimba then mnasingizia amedodondoka manniner nyie

    ReplyDelete
  5. mimba gani inatoka kisa kuanguka ? ilishikiliwa na nini ? kutwa mmevaa vijinsi vya kuwabana tumbo ujauzito gani unaenda hivyo mliambiwa ? mtu mjamzito kutwa klabu na bwanako , mimba gani zinalelewa hivyo ?? acheni ulimbukeni Mimba zinataka stara na matunzo , pia acheni sifa si kila demu wenu akipata mimba mnaweka matangazoo what for ????????????????????

    ReplyDelete
  6. hovyooooooooooooo

    ReplyDelete

Top Post Ad