SERIKALII YATAKIWA KULIFUNGIA MAISHA KUNDI LA BAIKOKO! NA MAKUNDI YOTE YA AINA HII

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mmoja wa cheza show kama anavyoonekan akiwa akimchezea uchi mteja.
 
Mcheza show wa kundi la Bikoko akionesha manjonjo yake mbele ya wateja.
 
Laanakhum kama hii haikubariki Serikali inatakiwa kuyasambaratisha makundi kama haya ili kukomesha uposhwaji wa maadili ya mtanzania na kushawishi vitendo vya ngono.
 
 

Serikali ya Tanzania kupita wizara ya michezo utamaduni imeshauriwa kuyasambatisha makundi yote yanayojihusicha na kucheza uchi kwenye kumbi za burudani ili kukomesha hamasa  za ngono na udhalilishaji.

 Wakiongea na Xdeejayz baadhi ya wanchi waliyalalamikia makundi ya Khanga Moja " Laki Si pesa, Baikoko, Kitu Tigo K nyumbani kwako,Tako Camp lililopo Mwanyamala mchangaji watu hao walisema kushindwa kwa Serikali kuyazuia makundi hayo ni kuonesha udhaifu kwani yamekuwa yakidhalilisha heshima ya mwanamke wa Tanzania pamoja na kihamisha ngono.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

16 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mnataka wafungiwe halafu wakale wapi. Nchi yetu siku hizi kila mtu anajitafutia, na kama riziki yao ni kwenye kunengua, basi waache wanengue.

    ReplyDelete
  2. Sasa si wanengue kwa staha !!!! Ndio nini hiki kuchochea ushawishi wa ngono hadharani na kudhalilisha wanawake this is just so irritating. How cheap can people be na watu Kama hawa maisha yao yote na kujidhalilisha kote hawana maendeleo yoyote kiuchumi maskini wa kutupwa wanaishia kutumika tu by the time wanashtuka it's too late au wameambulia maradhi tu

    ReplyDelete
  3. siwapendi? wanajitoa akili sana kama hawana wazazi nibi?

    ReplyDelete
  4. Ndio stail ya maisha waliyoichagua tuwaache ila mwisho wa cku hesabu zao zipo kwa mungu!

    ReplyDelete
  5. Mh makubwa.madai yake its a free country

    ReplyDelete
  6. Haya mambo yanahamasisha ngono,hususa kinyume namaumbile,hawa baikoko wanateketeza taifa letu.Tuache huu ujinga wakutumia maneno pasipohusika,nikweli [its a free country]lakini ikumbukwe kua mila na desturi zetu ndizo zimetupa heshima ya taifa hili,sizanikama kunamzazi ambaye angependa mwanae awekatika kikundi hichi.inabidi wizarahusika iangalie nijinsigani inaweza kulisaidia kundihili likawa la kitamaduni zaidi.

    ReplyDelete
  7. BIG UP! RAS'BONGO.

    ReplyDelete
  8. Nyie hawa watu wapo toka enzi hizo .... na watakuepo hadi mwisho wa dunia ... rumieni akili... serikali ikubali ila wacontrol na wawepe vibali ambavyo vitawaweka mbali na watto wetu...

    ReplyDelete
  9. Mtu alichezewa pale external ubungo mpk akajkojolea.tushawazoea

    ReplyDelete
  10. ushenzi mtupu hawana lolote, kwani kutafuta pesa mpaka ujidhalilishe namna hiyo? wajiheshimu basi hili jambo si la kufumbia macho, wamenikera

    ReplyDelete
  11. Ni udhalilishaji jamani hata kama ni uhuru huu umezidi. Wafungiwe na warudi kijijini wakalime. Inahamasisha ngono zembe. Ni aibu sana

    ReplyDelete
  12. Kwani mnalazimishwa kuwaangalia,waacheni w
    asakate rumba aaala kwanza mimi wananipaga raha kinoma.

    ReplyDelete
  13. Haa! Waacheni tu jamani ,coz wanatupa raha

    ReplyDelete
  14. Hiyo serikali iwafungie kwani inawasaidia kitu gani?wawape vibali na mipaka maalum ya kufanya shughuli zao na kuwatengenezea sheria maalum kwa haki miliki ya kazi zao,wakivuna pesa kwa sanaa yao hawatacheza uchi,kucheza uchi ni kukufanya utoe ulichonacho na kuwatunza,kwa namna nyingine wanafurahisha.

    ReplyDelete

Top Post Ad