"SIJUTII KUTIMULIWA BIG BROTHER, NAAMINI HAIKUWA RIZIKI YANGU"...NANDO

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Aliyekuwa mwakilishi wa Tanzania kwenye shindano la Big Brother Africa, Ammy Nando amesema hana majuto yoyote  baada ya kuondolewa kwenye shindano hilo.

Nando ambaye aliondolewa wiki iliyopita kwa kuvunja  sheria za shindano hilo ,  leo amefunguka  kwa  mara  ya  kwanza ndani  ya  kipindi cha XXL cha Clouds FM.

“I live my life with no regrets,”alisema Nando  na  kuongeza:

“Sitaki kufikiria  matatizo wala nini, kilichotokea ndio kimetokea...

"Najipanga upya ili  niendelee na maisha mengine. Vingapi vizuri  vimetokea nyuma ? 

"Tokea  nilipokuwa mtoto mdogo nani alikuwa ananijua? Sasa hivi nipo peace , nashukuru kwamba mmenipokea vizuri. 

"Naendelea na maisha, uzuri nimepata platform ya kutengezeza jina langu, kwahiyo naenda hivyo hivyo mpaka huko ntakapofika.”
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. ulikua unawakilisha nchi,hukutakiwa useme kua hujutii....chamsingi kabla hujaanza kufungua hilo domolililo kutoa katika jumba lile,Kwanza waombe radhi watanzania wote waliokupigia kurazao pakasiku ulioleta upumbavu wako.NAKUKUMBUSHA KUA HUKWENDA KAMA NANDO TU''PIA ULIKUA UNAWAKILISHA TANZANIA.

    ReplyDelete
    Replies
    1. mdau mweleweshe huyu zuzu..unajua binafsi najutia sana kumpigia kura huyu kenge..mana hizi kauli zake zinaonyesha wazi alikuwa anatupotezea muda wa TZ tuliokuwa tunampigia kura. kjinga sana haka katoto....eti sijutiii..nyooooooooooooooo. na nyie multichoice, mnatuchosha na vituko vingine mnavyochagua kutuwakilisha, next time try to be careful as to who you send to represent TZ...Am sick and tired of this stupidity, and yet i watch the show and vote. la sivyo mtashangaa show itakavyokosa wateja.

      Delete
  2. watoto wengine wa binafsi,big up!

    ReplyDelete
  3. Mimi ninachoomba kabla hamjapeleka wawakilishi ni bora mkawafanyia mafunzo maalum!angalia huyu mpumbavu kashasahau kama tulikuwa tunampigia kura kwa pesa zetu!shwain!

    ReplyDelete
  4. Huyu mtoto ni mjinga sana, ana maissue kibaooo nasikia, hana adabu kabisa anatakiwa atutake radhi kwa kutuangusha, mjinga sana, sijui hawa DSTV wanawapata wapi hawa watoto wavuta bangi wajingaaaaajeeee

    ReplyDelete
  5. Kubwa jinga kweli hili tena lingekuwa karibu yangu ningelifunua teke la chemba ajambe kwanza labda medulla oblongata yake itachemka.

    ReplyDelete
  6. inaonekana nyie mnaomponda mlikuwa hamfatilii hiyo bba,kwa yule aliyekuwa anafatilia hawezi kulaumu kilichotokea,hilo ni game anayechukua mkwanja ni mmoja hivyo hata huyo aliyebakia usishangae sunday hii akatolewa nje ya njumba.

    ReplyDelete

Top Post Ad