SINA HAMU NA MWANAMKE TENA HATA AWE MZURI KIASI GANI

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Najisikia sihitaji mwanamke yeyote yule hata akiwa mzuri kiaisi gani. Sina hamu naye na wala siwezi kumfanya chochote. Naogopa kusema i hate you women kwani ni kama neno lisilo sahihi.

Nina mke wa muda mrefu sasa na mtoto mmoja, tulioana kwa upendo sana hasa mimi nikiwa na furaha sana kwenye ndoa yangu, lakini cha ajabu mambo yalibadilika sana mara nyingi mke akawa ni wa kulalamika tu, mara nyingi anashinda amenuna, maongezi hakuna kabisa ndani,. Nilijitahidi sana kumuweka chini na kuzungumza naye nikijishusha na wakati mwingine kuomba anisamehe na aniambie makosa yangu yanayomfanya asiwe na furaha.

Mara nyingi nilidhani ni mambo ya "kitandani" labda sifanyi vizuri lakini cha ajabu amekataa sana juu ya hili na kusema anaridhika sana na tena kwa kiwango cha juu na mara nyingi tumekuwa tukifanya hilo tendo hubadilika na kuwa mpole sana na hata kusema ananipenda sana.

Nimemwambia kwa lolote analoona liko tofauti aniambie mara nyingi najishusha sana kwake na nina msikiliza san, lakini nimegundua hana nia ya dhati maana kila kukicha anakuwa vilevile tena wakati mwingine hufanya makusudi kabisa.

Sikutarajia maishani mwangu kuwa na ndoa ya hivi inaniuma sana, nilimuoa kwa taratibu zote za kikanisa na ndoa kubwa na yenye maana, najiuliza kumwacha inakuwa siyo solution maana moyo huwa unaniuma sana kiasi kwamba natoa machozi na kumbembeleza, ninavyoelewa nimefuata moyo wa mama yangu ni mpole saaana tena sana nadhani hata mimi nimerithi huko.

Umefika wakati sasa nimechoka machozi yananitoka kila wakati, ofisini kazi zimenishinda sasa, na siwezi chochote, najihisi sisitahili kuishi duniani lakini natakiwa kuwasaidia wanaonitegemea, nahisi wanawake wote wanaroho mbaya za kinyama kiasi kunitesa hivi, lakini mbona mama yangu ni mtaratibu kiasi hicho? Kuna kitu kimoja kimenijia nimelia sana, nilikuwa namchumba mpole sana ila alinikataa ghafla bila kosa na kwenda masomoni, kumbe hakunikataa ila alifanya hivyo ili tusisumbuane wakati anasoma amemaliza nikiwa nimeoa, aliposikia amelia sana, na mimi nimelia sana. Dunia haijanitendea haki.

Nimetulia chumbani nalia sana saivi sipati solution zaidi moyo wangu unawachukia wanawake zaidi. Wanawake hamna jema kabisa yaani hata mkipendwa na kulelewa kama watoto mnakuwa hivi?

Source:Jamii forums
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

16 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. pole sana maana umekuwa muathirika wa ndoa. jambo moja nikushauri usikate tamaa endelea kumchunguza mkeo utajua tu sababu ni nini ya yeye kuwa hivyo. inauma sana ila huna budi kulikabili hilo. Mungu skupe wepesi inshaalah

    ReplyDelete
  2. kaka pole sn nam nna tatzo kama lako ndg yng.Piga 0766901020 2saidiane mawazo

    ReplyDelete
  3. Mungu anijaalie nami mwanaume kama wewe jamani mmmh

    ReplyDelete
  4. Pole kaka ila vumilia kaka ndio ndoa hiyo km ulivyo apa kanisani kuwa mtavumiliana ktk shida na raha sasa hk ndio kipindi cha shida sasa.

    ReplyDelete
  5. pole kaka kile unaweza fanya sababu umechoka piya jifanye haujali na hilo jambo baadaye utajua shida ni nini ,ukijifanya dont care for just siku mbili mwenyewe ata badilika na atakuongelesha,aliki zao ni ndogo sana

    ReplyDelete
  6. Innocent safari12 July 2013 at 00:48

    Muombe mungu yeye ndiye mfalme wa aman atarudisha aman ktk ndoa yako.

    ReplyDelete
  7. Me ni girl,ushaul wang kwako! we act if u dont care any more! sum tyms us galz 2napenda mwanaume uonyeshe kuwa we ndo kichwa! bt pole sana kaka!

    ReplyDelete
  8. ushauri wangu, wee nenda kazini rudi usiku, simu zake usipokee wala msg usijibu for a week and then jafanya kama yaani umwambie kuwa utamwaacha na unataka kuona mke mwingine, wee atakoma je, na miguu atakusafisha.

    ReplyDelete
  9. pole xana jkip busy 4 few days hlf uone anareact vp

    ReplyDelete
  10. POLE MAN.THE SAME IMENITOKEA MM ILA NIKAAMUA KUMUACHA HUYO MWANAMKE AKAOLEWA NA MTU MWINGINE.LAKINI CHA AJABU KAOLEWA HUKO ILA SIMU HAZIISHI KWANGU CJUI KAONA NINI HUKO.

    ReplyDelete
  11. ILA MAISHA NI SAFARI NDEFU.PIA NILIKUWAGA NA MWANAMKE.NILIKUWA NAMPENDA SANA NA NILIJITAHIDI KUMPA KILA KITU.KWENYE MAPENZI NDO USISEME NILIKUWA NAMLAMBA KILA SEHEMU MPK M....ND NA NYAYO ZA MIGUU.MWISHO WA SIKU AKAPATA WENYE HELA WAKAMUOA.LAKINI SS KAFIKA HUKO CJUI HAJATOSHELEZWA SIMU HAZIISHI KILA MARA.NA MPAKA SASA SIJAAMUA KUWA NA MWANAMKE MAANA NILIUMIA SANA.SIDHAN KAMA NTAPATA CLOSE SUBSTITUTE.POLE KAKA,LETS CRY TOGETHER NA SULUHU NI KUACHANA NAE MAANA UTAKUFA KWA STRESS.UTAMSAHAU TU MAANA HATA MM KWA SS NSHAMSAHAU NA NINAISHI ALONE U CANT BLV AM 35 YRS COUT WIFE.CHUKUA MWANAO UMLEE

    ReplyDelete
  12. Pole sana. kuwa busy fanya mambo yako. atakutafuta mwenyewe.

    ReplyDelete
  13. Hii story nimeisoma imeniumiza sana. Pole sana kaka. Cha kufanya ni kumpotezea kama wadau walivyosema maana ukiendelea kumuendekeza atakusababisha maafa zaidi kwa stress. Pole sana

    ReplyDelete
  14. Kwanza pole sn na mapenzi yakifikia hivyo uwa ni dalili za mwisho na hakuna suluhu vema jiandae kiakili na kiroho then achana naye sikuzote anayekupenda akusumbui,na ukuoa usumbuke wala kukosa raha okoa muda na maisha yako.kama mwanaume fanya mahamuzi magum,utaumia lkn utazoea bdae,duniaina changamoto zake kila la kheri ndugu

    ReplyDelete
  15. pole kaka.nakuelewa.me ni lady.naona uyo gal yuko lucky mbya bcz myself i wish to have husband like yu,iko ev KUMUACHA SI SOLUTION,najua weye mtu wa dini unatambua dini naamn ni ya kikristu,bas ndoa iyo haiwez vunjika ilo walifahamu ndio maana wajitahidi in every possible way.
    cha kwanza uyo gal hakupendi,cjapata elewa why alikubali kuolewa na weye,
    ila naamini katika sala,mkeo anaweza badilika adi ukashangaa mwenyewe,inahtaj weye usikate tamaa,na inahtaj mtu wa kukusaidia katika ili,yan someone unaweza ukalia mbele yake kumpa depression zako zote,this somene inabid awe busara na unayemuamn na ni ndugu yako hasaaa.
    so bro angu,ameshndwa kufunguka mbelee yako em present her to the priest/pastor msolve ii ishu,mkiwa mnamuombea,usikate tamaa tu,ata sala zangu ztakua nawe.mtoto anahtaj mapenz yenu wote wawl wazaz.
    na kwa uyo the gal ambaye alikuacha kwenda kusoma,kwanza kama alkua anakupenda angekuambia umsubir,ye naye alikua anacheza karata,yule alikua anamtegemea kamlet down ndo akaona bora weye,waapy et kisa usimsumbue,i dont blv in dat,kwany angesema niwait ingeleta tatzo,so u were not ment to be with her,but your wife sa ev so stick with her usiloose hope,in that crazy world av someone uhang nae(a guy ofcz) throught that tough time.I believe if you wont loose hope utafanikiwa,ila nawe usiwe mpole sana kwa mkeo,anatake that advantage ndo mana,na cjasema uwe unampga no,bal auone the serious you have in solving problems.is she happy that way?pliiiiz find solution than separating.

    ReplyDelete

Top Post Ad