SINTAH AJA JUU KUHUSU BLOGGERS KUTUMIA PICHA ZA ZAMANI ZA NUSU UCHI ZA AUNTY EZEKIEL

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

"Waandishi wa habari jamani fanyeni staha mnajua huyu ni muke ya mutu kwanini mnatumia pics zake za zamani?? kwani hana pics mpya?? maana hii ni nzito kwa mume hebu tofautisheni alivyokuwa aunt na sasa ni muke jamani kuweni na utu, maana kucha kutwa bloggers wanatumia hii pic leo nimeamua kusema ukweli, yaani mnanikera sana na hii pic" Says Sintah

Source:Sintah Blog
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Tuweke za kwake za nusu uchi? Tunazo

    ReplyDelete
  2. Mume gani wakati kambaka kijana mdogo haoni hata haya

    ReplyDelete

Top Post Ad