SINTAH " NASUBIRI KUPIGWA NA SHILOLE KAMA ALIVYO AHIDI-SAFARI ZA UKUBWANI MAJANGA"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

"Heee aliposema Sintah akarukiwa kwenye media zote nini na nini mbuta nanga.
Nothing personal to be honest ila watanzania tusipende kudanganyana jamaniii, juzi tu tulikuwa na kampeni za kwenda World Cup 2014 Brazil na kamati zikaundwa za kutosha tu, leo hakuna hata anayejua ndoto zimefia wapi now heeee.


Mtu anayekupenda lazima akwambie ukweli, truth sets a person free sasa sielewi kwa nini sie watanzania hatupendi critics rather tunapenda urahisi wa maisha vitu vitokee tu pap ndo maana mabinti wanaamua kubeba madawa e.t.c TUSIPENDE KURAHISISHA MAISHA

Joke of the year ni pale mtu hana hata album, nyimbo mbili/tatu tu za mdumange anakuja kutuambia eti Jenifer Lopez kafurahi anataka kufanya naye nyimbo kiruuuuuu. Charity begins at home, hujawagusa hata kina Lady Jaydee sogeasogea mpaka kwa kina Wahu na Juliana Kanyomozi kwanza ndo at least uje utudanganye Lolest. Kuna tofauti gani sasa kati ya huyu na wale waliotuambia tutaenda Brazil 2014?????


Tukijipanga timu yetu ya taifa itashiriki World Cup. Why not?
Msanii ukijipanga hakuna kinachoshindikana, nini JLO unaweza fanya featuring hata na Jay Z lakini sio kutuletea mambo ya mfalme njozi kwa kuwa umepata sponsor kakusafirisha basi mburula mwanzo mwisho. 

kuwa exposed ukubwani linaelekea kuwa janga la taifa sasa....Dont hate critics, you can learn a lot from them!

I had to say that because nasumbuliwa sana na media kila mara simu na interviews, I got nothing to hate on nothing... Im always honest nasubiri kupigwa now kama alivyoahidi Lolest. 

Thx kwa wale mliokuwa mna mtazamo kama mie coz sio wanafiki, Mungu anapenda sana wasema ukweli.


sitaki tena media yeyote sasa iniulize hili swala that's it, huu ndio ukweli wangu na sipendi kupigiwa simu kwasababu sitaki kumpa mtu hypes za kumtajataja, got better things to do than discuss issues that aint no valuable.

Good Day. Xo Xo

Unstoppable" 
Sintah"
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Sintah mange kimambi frank Gonga kutwaaa mko Kwenye head line

    ReplyDelete
  2. mcwe mnaeka habari za hawa wapumbavu..huwa azina maana yoyote..mabifu yakijinga 2...aaaaaagh

    ReplyDelete
  3. Sintah tangia uwe nakiblog chako unataka kukitangaza kupitia beef ili ukipe umaarufu lakin ni ujinga andika habari nzuri bado jamii itakuelewa,mbona kuna blog kama za kina michuzi ni maarufu lakin uwezi kukuta wameandika ujinga kama ww unavyofanya.badilika we dada lasivyo jamii nzima itakuchukia kwa mambo yako,shilole kama kaongopa anataka kufanya collabo na huyo jlo ww kinakuuma nn,au umepungukiwa na nn,,acha ujinga..tumechoka na mascandal yako idiot

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hivi frank Gonga anawatoto wangapi?maana leo katuma birthday greetings kwa mtoto mwingine nje ya ndoa frank jr .Wanne watoto au ?duh .DJ atalea watoto wote hao

      Delete
  4. Sinta mshamba tu.......

    ReplyDelete
  5. yaani huyu KILA SIKU Kugombana na wenzie kwani ukoje wewe

    ReplyDelete
  6. Mange ndio boss wao kwa ugomvi

    ReplyDelete
  7. hata mm nasema kwa kuuliza kuomba na angalau kutaka kufahahamishwa kwani shilole nae muimbaji au ni mtu anajitangazia kwamba yeye ni mwendawazimu wa kutikisa hayo makalio
    au ndio atuambie jlo amependa hayo makalio yake asituzingue bwana na afanye tumuone aje atusute wote

    ReplyDelete
  8. Sinta mbulula kwahyo km jlo anataka kufanya collabo na shilole atamwambia ngoja kwanza nifanye na wasanii wa africa wakubwa ndo nije kwako! Kila mtu na bahati yake.

    ReplyDelete
  9. Sinta ww chizi,ushafulia unataka umaarufu kwa lazima!ushazeeka pia,tafuta mume akutulize manake mmh! kwisha habari yako.

    ReplyDelete

Top Post Ad